mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,848
- 3,483
one man show
Hivyo vyama vyote kwasasa ni Branch ya CCM havina say na viongozi wake wengi was juu ni pandikizi! Watumishi tumebaki yatimaKwa niaba ya Wafanyakazi wote Tanzania, nachukua fursa hii kumpongeza sana Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuona na kusikia kilio cha Wafanyakazi.
Niwaombe sasa Viongozi wa Vyana vya Wafanyakazi kutumia hii Momentum aliyoianzisha spika tuone matamko na kauli za kumuunga mkono spika.
Ukiisoma sheria ya kuunganisha mifuko, kama unazo akili ndogo za kutosha kutambua nyeupe na nyeusi basi hutapeleja lawama kwa wabunge pekee (ingawa bado wanalaumiwa kidogo) kwani utaona kila eneo lililotaja fao fulani, sheria inaeleza kuwa kanuni (kikokotoo) kitakuwepo kwenye kanuni zitakazotungwa na Waziri mwenye dhamana.
Pamoja na ukweli huo, niwaombe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi kuanzia Jumatatu muanze kutoa kauli za kumuunga mkono Spika na kueleza nini hasa hitaji la Wafanyakazi lakini pia mukiangalia mustakabali wa mifuko yenyewe ili isitokee wafanyakazi wakataka kulipwa kiasi kikubwa cha mafao huko mifuko ikishindwa hata kujiendesha na kudumu kwa vizazi vingine.
Ushauri wangu wa upande wa Serikali ni huu: Serikali yangu sikivu, huu ni muda muafaka wa Serikali (wataalamu) kukaa na wawakilishi na viongozi wa vyama vya wafanyakazi hasa vyama vya watumishi wale ambao hasa wameguswa na hizi kanuni ba kuweza kufanya actural valuation ya mifuko kwa pamoja na kuhakikisha wafanyakazi kupitia wawakilishi wao wanaelewa thamani hasa ya mali za mifuko na uwezo wa mifuko katika kujiendesha na kulipa mafao wastaafu waliopo na wanaokendelea kustaafu.
Hivi sasa Serikali hamueleweki kutokana na ukweli kwamba, haya mambo mumeyafanya sirini kana kwamba Wafanyakazi hawataelewa na wakielewa hawatapinga!!! That was very wrong!!! Kutana na wafanyakazi na ujadiliane nao na uhakikishe wameelewa na wanakuwa sehemu ya maamuzi mtakayofikia.
Namalizia kwa kumpongeza tena Mhe spika kwa maneno yake ya busara juu ya sakata hili na niwaombe tena viongozi wa vyama, mpeni Spika na wabunge ushirikiano na pia Jumatatu kila mmoja kwa staili yake toeni kauli za kumpongeza spika na wabunge na muwaombe wabunge hasa wa Chama Tawala walichukulie uzito suala hili kwani limegusa ndani sana katika mtima wa Mfanyakazi.
Nawasilisha
TUCTA ni chombo cha serikali kinacho kusanya 2% kwenye mishahara za wafanya kazi kila mwezi ila ni toothless dog kinapofika kujadili maslahi ya wafanya kaziSerikali iliwabip wakulima wa korosho huko Mtwara na Lindi wao wakapiga, serikali ikainama...wakanunua korosho!
Lakini wafanyakazi wa Tanzania, wakiongozwa na TUCTA yao iliyojaa rushwa, ufisadi, ubadhirifu na kila aina ya Uchafu wapo tu wanaendelea kuichangia Tucta iliyooza na iliyo remote-controlled na TISS...wanaona dhulma wanayofanyiwa na serikali kupitia sheria mpya ya mafao lkn wapo tu hawawezi kuchukua hatua, hawawezi kujitetea...
Kweli aliyeiua elimu ya nchi hii ili aendelee kututawala kafanikiwa sana...huyo ndo ametufanya hata sasa tuone ni kawaida kuwa na msomi wa level ya PhD asiyemudu kuwasiliana kwa lugha ya Kiingereza...
Wafanyakazi wa Tanzania ni wasomi, lkn hawawezi kusema, hawawezi ku-challenge, hawawezi kuuliza, hawawezi kuhoji...
Go to hell wafanyakazi wa Tanzania along with your corrupt TUCTA...na mlivo manyumbu mlikubali kuchaguliwa uongozi na TISS na CCM, mtakoma! Rais wenu Dr.Msigwa yeye hana shida na hivyo vijisenti vya pensheni, because he is sucha a corrupt and fat fraud!
yaan wewe hivyo vyama ndo mabwege namba moja afu wabunge watunge sheria kuwe na fao la kujitoa me nikitaka fedha zangu nichukueKwa niaba ya Wafanyakazi wote Tanzania, nachukua fursa hii kumpongeza sana Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuona na kusikia kilio cha Wafanyakazi.