tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Kwa wale tuliopinga mkuu wa mkoa kuwa msimamizi wa vita hii ya madawa ya kulevya , hebu njoon tujadili kidogo. Kwangu mimi huu ukosoaji tuutoe kwa makonda sasa tuelekeze kwa serikali kuu na hasa kwa mkuu wa kaya.
Sababu kuu mbili ninazo chelea kusema hii vita makonda kapewa maagizo si yake.
Ya kwanza mkuu wa kaya kasema tuache kumchafua anayepambana na madawa bali tuungane kupiga vita. Kwa lugha iliyonyooka zile kelele zetu kwamba makonda si msafi ana mali zisizo na majibu si chochote kwake bali tunamchafua. Tuache kujadili majumba yake na hata magari yake kwa mkuu wa kaya haoni harufu ya rushwa kwa makonda zaid anaona utakatifu. Kwake hii miaka miwili ya utumishi serikalini inatosha kukusanya mali alizo nazo.
Kwa staili hii rushwa isikie ikiwa kwa mwenzio bali ikiwa mlangoni mwako utaita ni neema!!
Sababu ya pili ni makonda kutangaza tena kuendelea na staili yake ya kuwataja watu kama hapo awali . Hii ina maana kapewa go ahead!! Zile kelele zoote za bungeni kwake si lolote. Maoni yote tuliotoa kwa mkuu wa kaya si lolote. Wangeona kafanya makosa wangemkataza . Kitendo cha kuendelea kesho, Nachelea kusema makonda katumwa!! Sasa tuache kupambana na makonda twende kwa aliye mtuma kwamba kwa staili tutaibomoa nchi. Tukiendelea kumpinga makonda tunamwonea. Binafsi kuanzia leo simpingi tena makonda nitampinga aliyemtuma.
Usisahau point mbili tu.
Tusimchafue makonda means ni msafi.
Tuungane naye kupambana. Kesho anataja tena. Ina maana hajakosea popote katika sheria za nchi yetu namna ya kuwatuhumu watu. Yuko sahihi kabisa .
Haya sio yangu bali mkuu wa kaya.
Neno moja kwa rais wangu , kwa staili hii UNAIBOMOA NCHI VIPANDE VIPANDE.