pole sana, kama ulivyoshauriwa, nenda hospitali, sijui kama umeshachelewa sana! Hakuna haja ya kukaa unatafuta tiba mbadala kabla ya kwenda hospitali, afu zikigonga mwamba ndo unafikiri kwenda hospitali, huu ni ujinga! Ukianza kijisikia ndivyosivyo, mapema, changanya makongoro, nenda hospitali...