Lazima mkubali Ustaarabu wa Kitanzania unaanzia ZANZIBAR,,
tokea zama zile hadi leo,, maendeleo na ustaarabu umeakua ukianzia Zanzibar na baadae bara wakafuatia,,,
nakupa mifano michache tu ifuatayo :
Televisheni ilianza Zanzibar,,, Miaka 20 baadae ndio ikaja Bara
Masuala ya Biashara huria...