Wakili aidai Fastjet Sh60 mil kwa usumbufu

Wakili aidai Fastjet Sh60 mil kwa usumbufu

Ukizijua sheria bana kwenye hii nchi raha sana
 
Hiyo ndio kampuni pekee niliyoona mtoto analipa nauli sawa na mtu mzima, wapuuzi sana hao, mtoto wangu wanachaji nauli sawa na mimi hii ajabu kweli,
 
Asavali umeandika mwenyewe, aliwatetea MafisadiCCM

Yes, fani ya mawakili ni kutetea na si kusoma katiba ya chama pale mahakamani.

Kumbuka hilo, ukienda kutibiwa hospitali huulizi huyu daktari ni chadema au CCM, wewe unatibiwa tu na daktari kwa itikadi yake yakichama hawezi kuacha kukutibia. Hivyo hivyo kwa wanasheria, siasa mbali mahakama mbali.
 
Kimsingi sina shida na wewe kuvaa hijabu yako ni ukweli nakuheshimu ndio mana nikaukelezeza kwa vijana wa Kichagga ambao umekua ukiandika mengi sana juuu yao.
Hahaha naona unalialia kwa moderator, basi hii utakua ujumbe wangu wa mwisho kwa hili kama itabidi.
Uwe na siku njema ya wafanyakazi

Duh kumbe mkwala unasaidia,,, naona mkuu umeamua yaishe! maamuzi mazuri
 
Duh kumbe mkwala unasaidia,,, naona mkuu umeamua yaishe! maamuzi mazuri

Ni kweli nimeamua yaishe aisee. Nilikuwa namtania kwa kua amekuwa akitania sana vijana wa Kichagga, ila naona hataki utani sasa hakuna haja ya kuendelea kama namkwaza mtu.
BigUP na uwe na saiku njema ndugu yangu
 
Back
Top Bottom