JK aonja nguvu ya CHADEMA Mwanza

JK aonja nguvu ya CHADEMA Mwanza

Deo wewe gamba,hizo ndio changes za politics mambo taratibu but mageuzi yako karibu.maana wananchi wamechoka na propaganda zenu magamba.
Umesahau wala siyo mageuzi ni mapinduzi ya ccm yatawavuruga mpaga bugalika na kuzaliwa upya kwa ccm subili uone.
 
Acha utani wewe tumia akili ccm ukiwambia ukweli wanakuvua uwanachama.tell me how itazaliwa upya kivipi? Nani ndani ya ccm anaweza kuambia ukweli wanamagamba?
 
Taifa linawatu wajinga sana kwani kupanga kufanya vurugu kwenye mikutano ya rais inawapa faida gani huu uongo na vurugu mnazofanya zinawasaidia nini?

jaribuni kufanya siasa za hoja siasa za hoja zimepitwa na wakati ni ushamba watu wazima mnapanga kufanya vurugu halafu bila aibu mnajisifia kweli ujinga hauna majani wewe ungekuwa umeshaota majani.

Wananchi siyo wajinga ila wanafanya mambo kutokana na hali...na ukizingatia nafasi pekee ya kufikisha ujumbe wao ni sehemu ya wazi kama pale kwa hiyo walikuwa na haki ya kufanya vile akuna sehemu ingine...pia naweza sema ww unaweza kuwa mjinga kwa sababu una ufinyu wa kufuatilia siasa za tanzania hapa kuwa wapinzani wananyimwa haki zao na ndo maana unaona wanafanya vitu vya kuwakela watawala walioingia kwenye madaraka kwa matakwa yao badala ya matakwa ya wananchi
 
Mgema akisifiwa sana tembo hulitia maji.Magufuli naye kazidi misifa mpaka anaharibu wacha wamzomee
 
Magufuli ni jembe hata hachafuki kwa namna yoyote ile ni mtambo na kama atagombea urais wanasiasa wajipange.
hata mumsifie vp hili la kuuza nyumba za serikali mpaka anakufa hawezi kusafishika. Napita seaview sasa hv naziona zilizokuwa nyumba za mawaziri ambazo zinaoteshwa maghorofa na wahindi. inaniuma sana.
 
Taifa linawatu wajinga sana kwani kupanga kufanya vurugu kwenye mikutano ya rais inawapa faida gani huu uongo na vurugu mnazofanya zinawasaidia nini?

jaribuni kufanya siasa za hoja siasa za hoja zimepitwa na wakati ni ushamba watu wazima mnapanga kufanya vurugu halafu bila aibu mnajisifia kweli ujinga hauna majani wewe ungekuwa umeshaota majani.

Kwani wewe unaishi Ruanda ama wewe ni Mnyaruanda? Watu wanawashangilia viongozi wao alafu wewe unasema ni wapuuzi. Mpuuzi ni huyo kiongozi wako aliyezomewa anayetishiwa Nyau na Kinchi kidogo kama RWANDA. Ni upumbavu uliotukuka.

"Rais Kikwete ni dhaifu
" By JOHN .J Mnyika MB

 
Sisi hatupo Mwanza na hatukuwa eneo la Tukio, je kilichowasilishwa ni chenyewe ama siyo? Matata alikuwa uwanjani ama hakuwepo, Salaam zilitolewaje? Maghufuli alisema hayo maneno au hapana? Rais alimsifia Mbunge wa Nyamagana au Hapana? Tafadhali tujuze hayo kwanza
Angalizo kwa Wasomaji wa Uzi huu:

Mleta Uzi ni Mwandishi Mwandamizi wa "Kishiri Times" lenye Ofisi yake katika Kitongoji cha Mashigambiti, Kijiji cha Kishiri, Kata ya Igoma, Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza.

Hivyo, hata uzi ameuleta kwenu kwa staili ya kishiri-kishiri na ndio maana ameanza heading ya Uzi na neno "Tetesi" na kujaza ----- kwenye uzi wenyewe!

Kwa wale ambao hawafahamu namna ya kufika Kishiri, ziliko ofisi za Kishiri Times, gazeti ambalo Mleta Uzi uliojaa ----- ni Mwandishi Mwandamizi, baadaye kidogo mtapata maelekezo. Poleni!
 
CCM hamna ktu,huyo raisi wenu wa CCM huku Tanzania watu walishamchoka...Na mshukuru mungu hawaturuhusu kumiliki miguu ya kuku.
 
huo wote ni uongo na udaku wa gazeti lao la chadema tz daima. mm binafsi nilikuwepo katika mkutano huo wa jk furahisha na sikuona popote akipozonewa mtu hakuna ukweli wowote katika habari hii. kuna tv ya cable hapa mwanza ilirusha live mkutano huo mwanzo hadi mwisho na hatukuona kitu kama hicho. nahata tuliokuwepo pale uwanjani hatukuyaona hayo ni yauzushi mtupu.
 
Back
Top Bottom