Recent content by mshimboka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tafuteni hela humuwezi kuamini nipo na USD $ 1,000,000 Leo Las Vegas lakin pesa hii haitoshi kwangu kuishi kwa siku 7 hapa Marekani

    Mi nipo hapa palms casino resort eneo la kifahari empathy suite nimelipia hela ya kulala siku saba USD $ 700,000
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tafuteni hela humuwezi kuamini nipo na USD $ 1,000,000 Leo Las Vegas lakin pesa hii haitoshi kwangu kuishi kwa siku 7 hapa Marekani

    Nimeamua kuja hapa Las Vegas kwa ajili ya mapumziko ya wiki moja lakinaishi nayohitaji kuishi hapa naona kwa hela hii niliyonayo sitoboi wiki Nilikuwa nimeandaa bajet ya dollar 1 million kwa ajili ya kufurahia mapumziko lakini hela hii inanitosha kwa siku tatu tu Najiuliza nyie mnaolipwa viji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 25 nafaa kuingia katika ndoa au niendelee kufurahia maisha ya ubachera

    Habari zenu, Miaka 3 iliyo pita nilifanikiwa kuitwa baba nikiwa na umri wa miaka 22 ambapo nilipata mabinti zangu mapacha kutoka kwa Binti wa kijerumani Greta Friedrich Mimi na Greta tulikutana mwaka 2021 mwishoni nchini Italy nilipo kuwa mapumzikoni na tulianza mahusiano mimi nikiwa na umri...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unatoa wapi ujasiri wa Kuomba mtu kiasi Cha shilingi 100,000

    Leo katika mizinguko yangu nikajikuta nimefika huko uswahilini ukonga mombasa jilani na kikosi Cha kutuliza ghasia (ffu) basi nikapaki gari yangu land cruiser lc 300 zx Basi nikashuka kwenye gari nikakatuna na mama muuza dagaa nikamsalimia na kuanza kuongea nae na kumuuliza biashara yake jinsi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mshindi anapata zawadi ya milioni 500

    Ndugu zangu wa jamiiforum nimeona nisiwaache bila kuwapatia zawadi nzuri member wa jamiiforum na Leo nahitaji mwenye wazo zuri la biashara atoe hapa jukwaani atumbie nikimpa milioni 500 atafanya uwekezaji gani na kwa muda gani ataweza ku double mtaji. Mshindi atakayekuja na wazo zuri...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaendesha takataka na si magari

    Wiki hii nilikuwa najalibu kuendesha gari zenu aisee hizi gari ni mbovu na mbaya sijawahi kuona magari haya hakuna kitu Toyota crown Ist Raum Harrier Rav 4 Honda Cr Mazda CX-5 Toyota Fortuner Kia Hyundai Santa Fe Toyota Prado Nissan patrol Gari hizi sio Luxury Old technology Bad interior...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

    Kama kushika bilioni nimeanza kuwa na bilioni kwenye akaunti Toka nikiwa na umri wa miaka 18 na mwaka huu nikiwa na umri wa miaka 25 nimepata bilioni 5 na milioni 700 ambazo ni zangu binafsi katika mgao wa urithi na asa hivi nipo kwenye ujenzi wa kiwanda changu Cha aluminium na plastic Muda si...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tupia picha ya gari yako ya kwanza kununua na utuambie ulinunua ukiwa na umri gani

    Assalam allaykum ndugu zangu Leodogo wenu Nina furaha baada ya kuanza kumiliki gari zangu mwenyewe nilizo kununulia kwa hela yangu. Kuanzia sasa naendesha gari nimezonunua kwa pesa yangu mwenyewe na so gari za familia Tena japo nimebaki na gari tatu mbili zikiwa nilipewa na baba yangu kwenye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania, tafuteni hela. Hakuna kitu kizuri kama kuwa na hela

    Acha makasiliko tafuta pesa watoto wako wake kuufurahia maisha
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania, tafuteni hela. Hakuna kitu kizuri kama kuwa na hela

    Muulize ChatGpt kama kaandika yeye au mimi ndo nimeandika
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania, tafuteni hela. Hakuna kitu kizuri kama kuwa na hela

    Watanzania tafuteni hela mana hakuna kitu kizuri kama kuwa na hela. Ndani ya wiki mbili nimefanikiwa kukutana na watu wazito sana kwenye biashara na uwekezaji Abdulmajid Nsekela, CEO of CRDB Bank Deogratius Marandu, CEO emirate aluminum Shekhar Kanabar, CEO Synarge Group Ernest masawe...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tarehe Mbaya Hizi...

    Gari gani hiyo Lita 1 km30 wakati gari yangu Lita 1 ni km 2.5
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tarehe Mbaya Hizi...

    Dah mafuta ya 30k unalalamika wakati mi juzi tu nimebadili oil kwenye gari yangu ya urithi 23m na fundi nimemtoa nairobi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nikiwekeza milion 20 kwenye soko la hisa leo ningekua na milion ngap faida kwa siku moja??

    Tafuteni hela ili msiwe na mawazo ya kimaskini
Back
Top Bottom