Recent content by Mshimba

  1. M

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Kuna jambo siobure.. Ujio wako sio wa kawaida
  2. M

    CUF: Msajili wa Vyama hana Mamlaka kutoa ushauri, msimamo au mwongozo kwa vyama vya siasa

    Kama professional huyu jamaa amefanya maamuzi ya kifomuwani sana
  3. M

    Tume ya Uchaguzi Uganda yamtangaza Museveni mshindi, Besigye apinga matokeo

    Yule aliyesema ataroast her clitoris if Museven wins again aandae flampeni!!
  4. M

    Mr. Kabuje jipu linaloidharirisha TRA Kilimanjaro

    Mwalimu wako wa Kiswahili while ya msingi Hakufanya kazi sawasawa. Mini maana ya neni Kudharirisha? halipo.. kuna neno kudhalilisha.. Halafu inaonekana wewe binafsi una matatizo.. Kawaone wahusika wa juu kama hukuridhika na maamuzi take sio kuandika upuuzi kama huu! Unatupotezea muda na thread...
  5. M

    Taarifa ya Edward Lowassa juu ya hali ya kisiasa Nchini na Mustakabali wa Zanzibar, Nov 15, 2015

    ulitaka asemeje sasa? na hali dola ndo ishachkuliwa na CCM?
  6. M

    GE2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

    Bado hajakosa mpaka kikao cha NEC kitakapoamua kama mchakato utalikuwa fair ama la!!
  7. M

    GE2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

    Taarifa za kufariki kwa mgombea huyo hazina ukweli wowote!!! Mgombea aliyepigwa anaendelea vizuri na atakuwa discharged muda wowote!
  8. M

    GE2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

    Jay One tofautisha Gongo na gogo!. Wewe mwalimu wako wa kiswahili hakufanya kazi sawasawa.
  9. M

    GE2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

    Hatimaye Mheshimiwa Ndugai amechimbia kaburi la kisiasa baada ya kumshambulia Mgombea mwenzake aitwae Dr Joseph Elieza Chilongani kwa gongo katika mkutano wa kuomba kupigiwa kura za maoni CCM Hayo yametokea leo mnamo saa saa 10 jioni katika kitongoji cha ugogoni mjini Kongwa. Katika kile...
  10. M

    Ubunge Kongwa, Ndugai atoa rushwa hadharani awekewa pingamizi

    Kama mtoa mada hii anasema kweli, nadhani wangemrecord halafu ule ushahidu uwasilishwe PCCB ili kusupport hilo pingamizi haiwezekani mtu atoe fedha nyingi kiasi hicho halafu suala hilo lifumbiwe macho.
  11. M

    TFF yamuengua Michael Wambura kugombea urais wa Simba SC

    Wambura ni kama wanamuogopa hivi. Wangemuacha tu kkama hatakiwi wanachama wangeamua!!
  12. M

    Kikwete aenda tena Marekani na Canada. Kutunukiwa PhD ya Sheria - Guelph University

    Hiyo nayo atashangaa zaidi km alizopewa na vyuo vya huku
  13. M

    Huawei SmartPhone inauzwaa..!!

    Unapatikana kwa namba gani mtu akiitaka?
Back
Top Bottom