Mau Mau
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 689
- 504
Kumbe bwana TIN (Tax Identification Number ) sio bure kama tunavotangaziwa, huyu mh. Ni mkuu wa idara inayohusiana na Tin, yaani kupata TIN kwaajil ya leseni za biashara, driving n.k ni ngumu kuipata kuliko shetani kwenda mbinguni.
Jamaa anatukana wateja hovyo, anaafukuza hovyo na sometimes kunyang'anya form na kuzichana kama hawajapitia kwa madalali wake kule nje, ukifuata taratibu sahihi hupati TIN, ila ukipitia kwa madalali wao wanaokaa njee wakakutoboa 20, 000/-na kuendelea kutegeneana na utakavojitetea,
Rushwa imetamalaki, rushwa ndio imegeuzwa msaada tra, watu wanasemaga polisi lakini TRA ni kiboko.
huyu Jamaa Kabuje asipotumbuliwa TRA Kilimanjaro mnalo, na bado huko idara zingine. Aibuuuuuu!!!