Recent content by Mshikemshike

  1. Mshikemshike

    JamiiForums Tanzania Kumuacha Spika Ndugai ni tatizo lakini pia kumng'oa laweza kuwa tatizo zaidi

    Wenyewe kwa wenyewe wanapingana ccm mnatupeleka wapi??
  2. Mshikemshike

    JamiiForums Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

    Uyu Dada awe mpole tu alishafanya mistake mwanzo kabla mzee àjafa now akubali matokeo.
  3. Mshikemshike

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi yaua mtu Ardhi-Kivukoni, chanzo kuchat wakati akivuka barabara

    Siku ikishafika ata angekuwa makini au hana simu angekufa tu kwa kugongwa ...RIP
  4. Mshikemshike

    JamiiForums Tanzania Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

    Piga kazi zitafika tu
  5. Mshikemshike

    JamiiForums Tanzania Mume aua hausigeli kwa kipigo akimlazimisha amwambie mchepuko wa mke wake ni nani

    Badala ya kupambana na mgoni aliemwibia mkewe hasira kaenda kummalizia binti wa kazi ambaye ana hatia Sheriia ichukue mkondo wake R.I.P. binti
  6. Mshikemshike

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Suleiman Kilemile afariki dunia

    Innah riilaah wainnah lilay rajiun
  7. Mshikemshike

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

    Pambana na hali yako umri wako wa 37 bado unataka kukaa kwa Baba Naona apo wewe ndo mwenye tatizo wala sio Baba yako
  8. Mshikemshike

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ametoka kufanya mapenzi na Mwanaume mwingine? Angalia unavyoweza kumtambua

    Baada ya kuthibiti viungo vyako unazibiti viungo Visio kuhusu vya mwanamke we kula usepe mengine mwachie mwenye navyo
  9. Mshikemshike

    JamiiForums Tanzania Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19

    Aiseee kumbe shida ni jina tu ndo Lina tuchanganya
  10. Mshikemshike

    JamiiForums Tanzania Tuelezwe tatizo la Makonda kabla ya kumlaumu

    mugah di mathew, Mmh kati ya viongozi ambaye simuelewagi uyu ni no moja jana kasema watu waache kukaa ndani leo atakamata wazurulaji daah 😁
Back
Top Bottom