Recent content by Mshika Bunduki

  1. M

    Nahitaji Bajaj ya Tsh Mil 3

    Kuna Bajaj aina ya Piaggio inauzwa Kwa bei chee sana ya m1.4.Inatembea ila inahitaji kurekebishwa kidogo kwani utunzaji haukuwa mzuri.
  2. M

    Kuoa si jambo dogo, unatakiwa uwe umejiandaa

    Tunakokwenda,sherehe za harusi zitafanywa na wenye uwezo wa kifedha tu. Kwangu mie,harusi sitofanya ila nitaenda kufunga ndoa tu kanisani tena ile ya saa 12:30 asbh,tukitoka hapo ni kuendelea na Kazi tu
  3. M

    Kuoa si jambo dogo, unatakiwa uwe umejiandaa

    Ni mnyambulisho mzuri sana! Naamini kila mmoja ana mtazamo wake juu ya gharama za ndoa na harusi
  4. M

    Suala la Kodi TRA: Magufuli, kwa mwenendo huu utashindwa tu

    Aisee TRA ni shida! Nilinunua gari aina ya Toyota Rush Kwa CIF $5,000 hadi bandari nakujikuta nalipia ushuru wa Tsh.13,000,000. Kwa hali hii,sishangai kwann mizigo inapungungua Kwa kiasi kikubwa bandarini
  5. M

    Mugabe Falls

    Tell those whites with big noses to shutup their mouth
  6. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Temeke mie nije Kinondoni 0679210882
  7. M

    Magufuli anza na Mikataba ya Gas, Madini, IPTL, SYMBION, ESCROW, Lake Oil, Lake Gas..

    Aliyemchagua Magufuri Kwa kutegemea atasimamia kauli zake za kuwafunga Mafisadi ni imekula kwake
  8. M

    Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Ujinga ndo mtaji wa CCM.Na limezidi kuendelea kujidhihirisha hilo kupitia matokeo ya chaguzi mkuu. Tunasafari ndefu sana kuikomboa hii nchi Daa! Wish to be born in other country
  9. M

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    LEGE Nimeomba kujitolea ila wamekataa na kudai Mawakala wamepewa mafunzo kamili hivo hawawezi kuniruhusu
  10. M

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Bwawani -Makumbusho kituo changu bado Mawakala wote hawapo. Taarifa tulizopewa ni kuwa wamesusa hiyo kazi cjui maslahi ndo chanzo au la. Wahusika mliopo JF jaribuni kuwasiliana haraka na wahusika wengine kunusuru hii hali kwani kuna wengine wenye mioyo myepesi walishaanza kuondoka bila kupiga kura
  11. M

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Manosa, Shukrani na sikuona hata haja ya kumjibu Mr Emmy. Bado mpaka dk hii Mawakala na msimamizi hawajafika
  12. M

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hapa Bwawani-Makumbusho Mawakala bado hawajafika.Wapiga kura wamehuzunishwa sana
  13. M

    Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Tky ndo home.Makamanda wananiwakilisha na mie nawakilisha huku wengine
Back
Top Bottom