Nahitaji Bajaj ya Tsh Mil 3

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,333
isiwe imechoka sana. body na engine viwe haijaguswa. yaani engine haijawah funguliwa kabisa na body haijapigwa Rangi. Bei ni Tsh Mil 3.
 
Mi nahitaji ya mil 2.5 jamani

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kuna Bajaj aina ya Piaggio inauzwa Kwa bei chee sana ya m1.4.Inatembea ila inahitaji kurekebishwa kidogo kwani utunzaji haukuwa mzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom