Pole sana, umenikumbusha mwaka 2009 niliibiwa hivyo na mdada wa jirani na ghetho langu, MUNGU wa ajabu mwezi wa pili mwaka huu nikamfuma geita kaolewa napita njiani, akataka kukimbilia ndani, nikamwambia upogo huku? Kwa aibu, ndiyo..., nikamwambia napita baadae. Nikamwacha anatetemeka midomo.