Recent content by mshamu

  1. mshamu

    Naomba kujua elimu hii kuhusu kulipa kodi za TRA

    Sheria ipo wazi kabisa kwa mfanyabiashara siweza kitunza kumbukumbu basi kima cha chini kwa mara ya pili ni 100,000 kama ulivyoshauriwa kuwa na daftari andika mauzo yako ya kila siku. Weka kumbukumbu za matumizi. Ili utoke kwenye kundi la wasiotunza kumbukumbu na utakadiriwa kulingana na mapato...
  2. mshamu

    Darasa: Jinsi ya kudownload (Kupakua) series za Netflix

    Erdedrfbd3m Krfdrreeeeegrggjfgrhgfdd Berf3eereefe444r4e Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mshamu

    GE2020 Tume ya Uchaguzi wametangaza matokeo au wananchi wanajua matokeo 2020 kwenye Uchaguzi Mkuu?

    Kwa maoni yangu naona jambo hili liko hivi, kipindi cha nyuma vitambulisho vya kupigia kura vilikuwa ni official Id yani kila sehemu lazima utaulizwa kitambulisho cha kura. Kwa sasa kuna kitambulisho cha Taifa hivyo watu hawaoni tena umuhimu wa kuwa na kitambulisho cha kupiga kura. RAI yangu...
  4. mshamu

    Msaada tafadhali Samsung S6 edge imegoma kudisplay

    Kwa kweli sijaingusha labda niseme misukosuko ya kwenye mifuko lakini niitumia vizuri asubuhi then nikaiweka mezani nilipokuja kuiwasha ndo ikagoma baada ya kugogle nikawa najaribu kuiwasha then ikawaka ilipozima kwenda kwenye sleep mode haikuwaka tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mshamu

    Msaada tafadhali Samsung S6 edge imegoma kudisplay

    kwenye google kuna maelezo ya kushika kitufe power on na volume kwa pamoja ukifanya hivyo kwa kujaribu jaribu inawaka ila baada ya muda inagoma tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mshamu

    Msaada tafadhali Samsung S6 edge imegoma kudisplay

    Wataalam mje kutoa msaada hapa. Simu yangu Samsung S6 Edge imegoma kudisplay yaani ipo on lakini kioo kinaonyesha giza. ukipiga inaita kama kawaida tatizo ni nini na suluhisho ni lipi? Nimejaribu kugoogle na kujaribu njia zote sijafanikiwa. Naomba mawazo yenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mshamu

    Photocopy machine nzuri

    kaka mi nauza photocopy machine ir 3300 nicheck kama upo poa nijulishe
  8. mshamu

    Vijana wa CHADEMA amkeni kutoka usingizini hamkuzaliwa ili mpanue vidole tu

    Sisi vijana wa UDP mbona hamtusemei jamani!!!
  9. mshamu

    GE2020 Hakuna mbunge wa upinzani 2020 atayerudi bungeni

    Wasalimie masela wenzio wa manzese wape ujumbe huo wajipange!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mshamu

    Tunafundishwa utaifa na watu wa hovyo! Tatizo ni nini ktk nchi hii?

    Mungu saidia hiyo jumapili tushinde sipati picha tukifungwa!!!!! Nahisi jf patakuwa hapatodhi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mshamu

    Lipumba atatumia Mahakama gani kuzifuta kesi za CUF, zilizopo mahakamani?

    Yetu macho Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mshamu

    Tuendako kuna giza: Majaliwa anadai kupata kura kiduchu sababu ni watumishi wa umma kutokitetea CCM kama mwajiri wao

    Gazeti la Mwananchi kuna kitu wanakitafuta!!!!!!! Hizi habari za kauli za watu hazitaliacha salama!!!!! Ngoja tuone waendelee kuandika habari za kauli za viongozi muda utasema!!!!!
  13. mshamu

    Ajali MV Nyerere: Waziri Mkuu amsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa TEMESA kupisha uchunguzi. Aunda Tume ya uchunguzi

    Nawakumbusha tu tuendelee kutoa michango yetu kwa ajili ya wahanga. Mwenye account maalumu ya kutuma fedha aweke hapa watu tuchangie. Mnara wa kumbukumbu pamoja na ukuta kuzunguka makaburi ni moja ya hitajio. Tujitokeze kwa wingi.
  14. mshamu

    Je, ni busara kuondoa matangazo Live ya maafa ziwa Victoria na ili kutuletea Rais akipata "breakfast" na askari wa barabarani?

    Ile chai siyo bure time will tell !!!!!!!!! Chai Live !!!!! Kuna jambo!!!!
Back
Top Bottom