Msaada tafadhali Samsung S6 edge imegoma kudisplay

mshamu

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
418
133
Wataalam mje kutoa msaada hapa.

Simu yangu Samsung S6 Edge imegoma kudisplay yaani ipo on lakini kioo kinaonyesha giza. ukipiga inaita kama kawaida tatizo ni nini na suluhisho ni lipi?

Nimejaribu kugoogle na kujaribu njia zote sijafanikiwa.

Naomba mawazo yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina S6 standard nilipata tatizo hilo nilibadilisha kioo. Utachimba mfukoni mkuu. Display za samsung ni among the best. Nilichogundua S6 ni simu nzuri il mayai sana. Hata kuiweka sehemu unaiweka taratiiiiiiiiibu.
 
kwenye google kuna maelezo ya kushika kitufe power on na volume kwa pamoja ukifanya hivyo kwa kujaribu jaribu inawaka ila baada ya muda inagoma tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye google kuna maelezo ya kushika kitufe power on na volume kwa pamoja ukifanya hivyo kwa kujaribu jaribu inawaka ila baada ya muda inagoma tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni restart nilifanya sana haikunisaidia haina zaidi ya hapo kwani ilishaanguka chini ?kwenye mambo kama haya watalaam wape maelezo ya kutosha kama ilianguka au imetokea tu yenyewe au maji yaliingia au uliwaachia akina dogo n.k
 
Kwa kweli sijaingusha labda niseme misukosuko ya kwenye mifuko lakini niitumia vizuri asubuhi then nikaiweka mezani nilipokuja kuiwasha ndo ikagoma baada ya kugogle nikawa najaribu kuiwasha then ikawaka ilipozima kwenda kwenye sleep mode haikuwaka tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli sijaingusha labda niseme misukosuko ya kwenye mifuko lakini niitumia vizuri asubuhi then nikaiweka mezani nilipokuja kuiwasha ndo ikagoma baada ya kugogle nikawa najaribu kuiwasha then ikawaka ilipozima kwenda kwenye sleep mode haikuwaka tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yangu niliangusha ikatengenezwa ila nimegundua mara nyingine sio kila wakati nikiwanatumia nikiziba ile eneo juu kushoto kama unaingalia simu kwa mbele inafifia mwanga na kuwa mdogo sana yaani filter ya brightness inarudi yenyewe karibu na zero inabidi nizibe jua kupata giza kidogo ili menu ionekane halafu na bonyeza ile on^off button kulia kuistua ndio naongeza brightness inakaa sawa.
 
Back
Top Bottom