Vijana wa CHADEMA amkeni kutoka usingizini hamkuzaliwa ili mpanue vidole tu

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
539
642
USALITI, UNAFIKI NA UTAPELI UNAMWISHO.

Nilijua iko siku vijana wa CHADEMA watagundua ni kiasi gani wanadanganywa na uongozi wao wa juu wa chama hasa MH. MWENYEKITI WA KUDUM.

Hivi kwa akili ya kawada umewahi kujiuliza ww kama mwanachama wa CHADEMA.

1. Kwann wabunge wote wajitolee kila mwezi pesa zao ili kulipa mshahara wa MBOWE.
(Kwann nae asijitolee bila malipo kama wenzie)

2. Misada, Ruzuku na michango yenu vinafanana na ofisi zenu mlizonazo?

3. Kwann kila mwaka mkichangie chama na bado mda wa kampeni mnaambiwa kuchangia kampeni?
(Huwa mnachanga pesa inakwenda wapi)

4. Mjiulize kama M/kiti haitishi uchaguzi kwa nafasi yake, je ipo siku wewe kama kijana utakua kiongozi wa ngazi hio.

5. Ama vijana wa CHADEMA mmezaliwa ili "MPANUE VIDOLE TU"

Pongezi kwenu vijana wa CHADEMA sasa mnaanza "KUPANUA FIKRA" kwa kuhoji matumizi ya.

*Matumizi ya nguvu zenu.
*Matumizi ya michango yenu.
*Matumizi ya mda wenu.

Kuelekea uchaguzi 24/11/2019, CHAGUA CCM kazi iendelee

*SISI NI SHUJAA WEREVU*

"Jasho la shujaa mwerevu ni ushindi"
 
Hao vijana wamekutima kwani wao hawana akili? Mbona vijana wa CCM huwakumbushi kupata Teuzi zote wanapewa hao wa Vyama vya Upinzani
 
Usijali hiki ni chama cha mkakati tu na ni chama cha usalama wa taifa kinatumika kuzuga vijana ambao awapendi kujifikilisha na serikali ya CCM ililigundua hilo kuwa hawa vijana ni wengi sana wanaweza kuleta shida.
Unaweza kuona Freemani anapiga sana anafanya ufisadi ndandi ya chama bila ya huruma, anawapiga sana wenzake hadi wabunge lakini hatumiwi Takukuru wala ukaguzi wowote kwani anafanya kazi kubwa.
Ndiyo maana 2015 alitumwa Lowasa kurekebisha mambo na yakawa safi, usisahau MABADILIKOOO!!! LOWASAAAA!!! utaweza kukumbuka aliyekomaa Lowasa aingie hata bila kufanya uchaguzi na kuwa mgombea uraisi ni Freeman na Askof Gwaji boi ambaye utakubaliana na mimi kwa sasa yuko wapi.
Kwahiyo Freemani ni mtu muhimu sana kwa maslai mapana ya CCM na taifa, hata msajili wa vyama vya siasa amgusi mwenyekiti wa kudumu.
Hivyo mleta mada tafuta mada zingine huku huwezi kuelewa.
 
Back
Top Bottom