Recent content by Msendekwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka mikwara ya Umsolopagas katika safari ya Alan Quarterman?

    Hicho chenye Gagula kinaitwa Mashimo ya Mfalme Sulemani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka mikwara ya Umsolopagas katika safari ya Alan Quarterman?

    Mrembo aliitwa Foulata
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Meno Amana tofautisheni kati ya Kung'oa misumari mabatini na meno midomoni mwetu

    Huna uwezo wa kuwaharibia kazi madaktari. Unataka wakung'oe jino huku wanakuchekea ili iweje? Hukawi kudai wamekuambukiza TB kwa vile waliacha mdomo wazi wakati wanakuhudumia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

    Tofauti ni kuwa huyo Prof alifanya udanganyifu, kusoma kwa jina lisilo lake, huenda kuna mtu alidhulumiwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ni kichefuchefu!

    Ustawi wa jamii (social welfare) kamwe si sawa na maendeleo ya jamii (community development)
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ni kichefuchefu!

    Tatizo ni hiyo Maendeleo ya Jamii hapo, community development, inahusika na kuinua uwezo wa wananchi,.mikopo,.kuwashawishi wabadili hali zao za kiuchumi mfano kuuza ng'ombe na kujenga nyumba bora, kuunda vikundi vya uzalishaji mali, n.k. Sasa kuipeleka afya, haileti mchanganyiko mzuri. Ikumbukwe...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hansard za Bunge: CHADEMA ilipinga kuanzishwa bodi ya mikopo

    Namkumbuka Bahati Tweve na wenzake, walipinga sana bodi, wakashambuliwa na Pius Ng'wandu bungeni.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hansard za Bunge: CHADEMA ilipinga kuanzishwa bodi ya mikopo

    Ukumbuke kabla ya hapo wanachuo walikuwa wanasoma bure, na hakukuwa na madaraja ya.kupewa mkopo. Leo watu wanamaliza chuo wanadaiwa na HESLB
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jamani Lowassa ana "nyota"

    Musa alipata kuwa muuaji pia ukumbuke
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Moses Mwizarubi kumvaa Lema Arusha

    Tupooooo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani 10 wa CCM na UDP wajiunga na CHADEMA

    Hawa madiwani ni wa jimbo la Chenge, sio la Cheyo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Shein Aidhinishwa kuwa Rais wa Awamu ya Pili Zanzibar.

    Umechemka wewe Chakii, sema mgombea urais zanzibar, sio rais wa zanzibar!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Awe na walau M 5 msingi tu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Manyoni: Basi la Bunda lagongwa na treni na kuua

    Sio Isuna wewe, ni Manyoni, pale keepleft, njia panda ya Itigi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni Uhaini Dhidi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa,Mangula Tunaomba Ufafanuzi

    Hiyo nafasi ya siku nyingi sana, Pancras Ndejembi wa Dodoma alikuwa nacho muda mrefu sana.
Back
Top Bottom