Elections 2015 Moses Mwizarubi kumvaa Lema Arusha

Duh! Feruzi Juma. Huyu jamaa ni CCM wa kweli. Nadhani amejitolea maisha Yake yote kwa CCM. Toka enzi za Sungusungu.
 
Mosses hajilikani arusha. Watu wengi wanamsikia ila hawajawahi kumuona. Siasa za matusi ataziweza??
 
Mmenye amani Paul katangaza mbulu I hope atachukua jimbo. Go go wamenyeeeeee
 
Mtoto wa Askofu Nabii & Mtume Mwizarubi baada ya Baba yake kuchota fedha za kutosha za wana kondoo
kijana anataka kutoka kivingine haaa haaa.
So you have decided to descend this low? Huku ni kukosa hoja. Kwani mzee Mwiza ndio ameomba kugombea?
Halafu hizo hela "amechota" kivipi? na zinahusianaje na Moses kuomba ridhaa ya ubunge?

Nakushauri bora ungechagua fani ya Baba yako pengine ungetoka kimaisha kuliko siasa za Arusha utaangukia pua bureeeeee.
Bill Gates angechagua fani ya baba yake angekuwa alipo? Au hata wewe mwenyewe mbona hukuchagua fani ya Baba yako? Ungekuwa far better maana baba yako si mpika majungu JF.

Kijana ameamua kutumia haki yake ya kikatiba, mbona umeamua kumuandama? Kama ataangukia pua hatakuwa wa kwanza na hatakuwa wa mwisho. Kuangukia pua ni sehemu ya siasa.

You are better than this!
 
Back
Top Bottom