Recent content by Msemanya Jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi , Mkuu wa Kanda ya Mauzo Vodacom Dodoma kanda ya Mvumi (Css) Anayofuraha kutangaza nafasi za kazi ya Team Leaders na Freelancers.

    Nafasi hizo ni kwaajili ya kukuza mauzo katika kanda ya Mvumi Territory ya Dodoma Vigezo 1. Ajuwe kusoma na kuandika 2. Awe na smartphone 3. Awe na akili timamu 4. Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea 5. Upande wa Tl Awe na uwezo wa kusimamia timu Elimu zaidi ya kidato cha 4 ama sawa na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

    kuhusu mimi Mwanume kijana wa miaka ya 90 mkazi wa Dar nimejiajiri/mjasiriamali/ napenda kuogelea/ kusoma traveling music muvi kula vizuri haswa kinachopokwa ama kupika mwenyewe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

    Najaribu kukuelewa lakini kwa mtu kujieleza hapa public nadahani hutopata unachokihitaji maana ni kama unatweza utu wake pia ulishaweka vigezo vyako ni vyema kama ungekua na njia yako ya kupokea maombi na kuyachaka kuliko kuhitaji mtu ajieeleze katika uwanja huu wa coment najaribu kuwaza kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

    ni nzuri ila kwa kuzingatia privace ni vyema kama ukija pm i will explain avery thing you want kama utajali
  5. M

    JamiiForums Tanzania Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

    kwa vigezo ulivyovihorodhesha karibu pm tuytjenge karibu vigezo vyote vipo on point
  6. M

    JamiiForums Tanzania Program and Operations Manager at Relief Family NGO July 2025

    kuna changamoto katika hiiemeil
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    90k
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    nakupa ofa mjoo na bei yako mkuu tumalize kazi leo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    jamani mi nina mashine ya samsang s10 mwenye uhitaji
Back
Top Bottom