Recent content by Msema yote

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Ukijenga nyumba bila mchango wa mtu hakuna anapaswa kukupangia matumizi yake, waweza ifanya kanisa, guest, hotel au nyumba ya kuishi. Ndivo ilivo kwa Mange Simu yake, akaunti ni yake, bando lake na muda ni wake hujachangia chochote hivo huna mamlaka wala haki ya kumpangia matumizi ya akaunti...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Moods wa JF mna rohoo mbaya na ngumu kama ya shetani, Niweka uzi wangu hapa muda si mrefu uliobeba madokezo juu ya kifo cha aliyekuwa jabali la siasa nchini Reverend Mtikila, matokeo yake hata nusu saa haijaisha moods mmeufuta, mnaweza nipa sababu za kuufuta? Au kuna habari za watu flani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mamba mkubwa auawa hotelini jijini Mwanza

    Mkuu huijui Mwanza, huyu mamba kaua watu zaid ya 20, na nlikuwa akija Mara kibao pembezon kwa ziwa hasa maeneo ya tilapia, Capri cabana, mswahili na butimba.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kusoma Canada zipoje?

    Wemzetu wako very strictly kwenye elimu na afya, hawataki mzahaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Facebook: Tutumie picha zako za utupu tukusaidie..

    Mkuu wanachomaanisha Facebook ni kuwa wametengeneza database maalum itayokuwa na picha za utupu tu, hivo endapo picha yako ikiwa kwenye hiyo database itakuwa imekusaidia pale itapotokea mtu ana picha yako ya utupu na akataka akuchafue kupitia mitandao yao haitowezekana kwakuwa katika kuaplod...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

    Asante sana chilla sasa waje wabishane na huu ukweli mchungu. Mwanza inasonga sana, kuna mpango wa kuanza ujenzi wa ukumbi mkubwa zaid afrika wa mikutano, ukumbi huu utajengwa pale kwenye garden jiran na ofisi za gsm pembeni ya mto mirongo, na wale watu wa bustani wana paswa kuhama, lakini pia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

    Asante chillah sasa wana dar waje wabishane na huu ukweli mchungu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

    Hats dar ilikuwa ya kishamba, kumbuka time change everything so I bet dar itapitwa sana na mini kadhaa miaka ijayo hii ni kutokana na ongezeko la watu na uchangamfumwa wa biashara na upatikanaji wa fursa, pia elimu itasaidia sana miji mingi kujua sana tena kwa kasi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

    Am really serious bro by the way hata gharama za ujenzi still rockckity ina gharama kubwa tofauti na mliman, kumbuka rock city haijaisha sijui kwa mliman, kumbuka malighafi zote za ujenzi rockcity ni imported kutoka dar na sehem nyingine ya dunia, hivo faham zimesirishwa kwa gharama kubwa, na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu nyota

    Tarehe 1 November na tarehe 1december Pia tarehe 28 December
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

    Hapo ndo nachoka wanadhani dar ndio kilakitu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

    Hats Arusha mkuu kuna pahala panashinda dar acha mwanza
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

    Unapo hesabu mradi wa hizo billion kadha tafadhali anza na thamani ya ardhi kwanza ambapo hapo tu ndio utofauti upo kwani eneo la mliman city ardhi kuipata ilikuw ghali tofauti na Mwanza lakini ujenzi Mwanza ni ghali kuliko mliman city, tukianza n gharama ya cement lazima ilisafiri toka dar...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

    Wewe una kalili ndio tatizo siyo lazima kila mall ndani pafanane na mliman city, sema were binafsi hujavutiwa na design ya ndani, na kwa taarifa yako design ile unayoiona ni matokeo bora ya ubunifu wa nje na mpangilio wa jengo na ndio maana pale kuna vyumba vingi na vikubwa haswa kuliko mliman city
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

    Wengine siyo wasukuma, sema mliman city ina jina kubwa na uchangamfu wa biashara, tatizo hamtak ukweli, by the way mm mwenyeji wa Tabata kimanga lakini penye ukweli lazima tukubali kuna maeneo mikoani pako vyema kuliko dar
Back
Top Bottom