Recent content by mseewakross

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina madeni Lukuki nifanyeje.

    Lipa bro.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri Chuo Kikuu Dodoma ataka Yericko Nyerere apewe PhD mbili kupitia kitabu chake cha Ujasusi

    "Blaza" punguza kumponda huyo jamaa. Dah nimepaliwa na mate kwa kucheka.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huu hapa umri sahihi wa Shilole

    Wewe ulipokuwa motto Shilole alikuwa tayari anaishi na mme wa kwanza Igunga. Hivi Sasa Wewe una 31yrs na mmewe Sholole ana 38 or 39 (a difference of 8 yrs) Haaa....unachekesha brother. Rudi katengeneze story yako upya ama sivyo acha uchimvi haukufai.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Ninasumbukiwa na ugonjwa was ngozi kwa jina ..PITYRIASIS RUBRA POLARISED. Je unaufahamu ugonjwa huu? Nini tiba yake?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serena Williams afunga ndoa na Alexis Ohanian

    Miaka yake Inahusikaje kwenye ndoa yake. Acha majungu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mkinga; Rais Magufuli ni dikteta Mtakatifu

    Kideri
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge mpya wa CUF, Hindu Mwenda afariki dunia

    Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

    Mleta mada Acha uchimvi, fitina na majungu. Jipambanue sawasawa na kwa uwazi kama mada uliyoleta hapa ina mashiko. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani mwenye ujasiri wa ku expose majina ya waliochota fedha za ESCROW kwenye masandarusi?

    Ikiwa wewe una clues za hizo transactions za huko Stanbic tusaidie wewe. Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

    Kuchapwa ndio nini??
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shigongo amvaa Tundu Lissu

    Ulitaka kusema nini mkuu happy??. Ungeandika kwa kiswahili tu ungesomeka vizuri zaidi. English waachie kina John Mayor, na kina Cameron.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi hili jitu linachukua msichana wangu

    Mali zake zipi zaliwa??? Si aoe kama anampenda bint?
Back
Top Bottom