Recent content by Msee Paka

  1. Msee Paka

    Taa za solar za barabarani kutokuwaka, hivi wahusika hawaoni?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. Msee Paka

    Dunia inawapendelea zaidi wenye pesa kama huna utahisi kuonewa mara zote, hii ni asili ya dunia

    Mkuu, hapa umeongea ukweli mtu na hakuna mtu atabisha labda ni kochaa asiyeelewa haya mambo.
  3. Msee Paka

    Zinahitajika 'floor carpet' za Volkswagen Golf

    Mwenye 'floor carpet'za gari aina ya Volkswagen Golf aje chapu tufanye biashara. [emoji120]
  4. Msee Paka

    Tume ya haki ya jinai

    Ila kuna tatizo kidogo la uelewa kwa hawa watoa mada japo ndio kuna utitiri wa vyomba vyevye sura ya kijeshi lakini vimepitishwa kisheria. Kitendo la kudharau vyombo hv ni kudharau sheria za nchi pia Ila pia hichi chombo wanachokitetea ndio huwa wanakilalamikia kila kukicha kuwa wanabbikizia...
  5. Msee Paka

    Tunauza na kusambaza vifaa vya kufugia kuku

    Zinapatikana kwa wingi.
  6. Msee Paka

    Tunauza na kusambaza vifaa vya kufugia kuku

    Karibu kwa huduma bora kabsa ya vifaa mbalimbali vya kufugia kuku. Tupo Kariakoo mtaa wa Lumumba na Temeke-Vetenary. [emoji338]0759190519. Whtsap. 0677002867. Popote tutakufikia.
  7. Msee Paka

    Tunauza na kusambaza vifaa vya kufugia kuku

    Uuzaji na usambazaji wa vifaa mbalimbali vya kufugia kuku. [emoji239][emoji212][emoji214]. [emoji338] 0759190519. Whtsap. 0677002867. Email: ufugajisupplier@gmail.com
  8. Msee Paka

    Uchawi wa Biashara ni Wateja, tumia gharama zozote kulinda "ulio nao"

    Kabsa mzee, arafu kutokana na hii point wewe lazima utakuwa na mfanyabiashara, maana umemshauri kibishara zaidi. [emoji106][emoji106]
  9. Msee Paka

    Utofauti kati ya kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa na akili (Mind)

    Hapo umeelezea akili Kwa kutumia reference ya lugha ya kiarabu, vipi kuhusu lugha ya kingereza 'Mind'. Hebu tufafanulie na hapa pia kwa kutumia reference. Karibu mkuu
  10. Msee Paka

    Siku zote Java Script itaendelea kuwa lugha ya kipekee sana

    Hahahahaaaa, mbona unakimbilia kusema uko Chato ili kuaminisha uma kwamba huenda kuwepo kwako huko kijijni ndio maana hujui kazi ya Java.
  11. Msee Paka

    Akili ya binadamu

    Mvua ya vitabu. Hahahaaaa
  12. Msee Paka

    Image Printing Services

    Tunakupa kilicho bora kwaajili ya biashara yako. Tangaza biashara yako kwa kupata LOGO mpya, nzuri na yenye muonekano mzuri. Tunaprint/kudarizi kwenye Kofia/T-shirts/Shirts n.k kwaajili ya wafanyakaz/staffs. Tuite popote ulipo nasi tutakufikia popote ulipo. Call/whatsap. 0759190519/...
  13. Msee Paka

    Tunadarizi na kuchapa t-shirts/shirts

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ni biashara tu boss wala hamna ushabiki.
Back
Top Bottom