Recent content by MsDynamite

  1. MsDynamite

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tuliojikatia tamaa ya kupiga kura tukutane hapa.

    Did it once... I' dont think I'll ever do it again ... [emoji57] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. MsDynamite

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema kila wakati

    Amen
  3. MsDynamite

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa daraja la waenda kwa miguu la juu eneo kati ya Kawe, Lugalo na Mbezi Beach ni matumizi mabaya ya rasilimali

    Lile eneo baya jamanii... Magari yanayotoka mwenge sometimes yanashuka kwa speed sana hata hiyo zebra magari ni kama hawaioni tu plus watu wameshakufa pale.. Hiko kibridge is long overdue
  4. MsDynamite

    JamiiForums Tanzania Huyu Mzee Matonya aliyepata msamaha wa Rais ni nani na alifanya kosa gani?

    Ila watanzania nani kawaaminisha kwamba ulikua mkono wa MTU? Its fascinating watu wanavyoshangilia wakati najua wabongo hata kusoma karatasi moja ya hukumu shughuli ... As a country we are doomed!! [emoji17]
  5. MsDynamite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harusi na send-off ni utamaduni mbovu, wengi wanakonda kwa stress za kufanikisha sherehe

    Don't get me wrong ... Me niko side ya sherehe ndogo funny enough just a thought of big wedding scares me na suala la kugo out of the way mpaka kukopa ndo ujinga zaidi lakini issue inakuja kuolewa na mwanaume ambaye mama yake amewaza ndoa yake toka ana mwaka ... Unafikiri hapo itakuaje? All...
  6. MsDynamite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harusi na send-off ni utamaduni mbovu, wengi wanakonda kwa stress za kufanikisha sherehe

    As a man you have the power .. Kwangu personally kama mwanamke kutaka sherehe ndogo itakua challenge sana esp ukipata wakwe wenye mtizamo tofauti its starting the marriage on a wrong foot! Kazii sana [emoji21]...
  7. MsDynamite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harusi na send-off ni utamaduni mbovu, wengi wanakonda kwa stress za kufanikisha sherehe

    Pressure sometimes inaanzia kwenye familia ... Mama & Madada hawataki kuskia kitu kidogo. Lakini kwenye utamaduni wetu mwanaume ukiwa na msimamo sherehe ndogo inawezekana.
  8. MsDynamite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A decent lady

    Hahahaha halafu decent + hook up used in the same sentence ... Makubwaa!!
  9. MsDynamite

    JamiiForums Tanzania Tuwe na sheria ya kudhibiti uvaaji wa mavazi Tanzania

    Its 2017 watu bado wanawaza kuthibiti mavazi ya wanawake... [emoji52] tuna matatizo!!
  10. MsDynamite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kuepuka wanawake wafupi

    Hahaha kwani ufupi unaanzia size ngapi?
  11. MsDynamite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fornication Under Concerning of King

    Hahahaaah duuh w learn something new everyday
  12. MsDynamite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu gani zimekufanya ukawa single mpaka leo?

    Mwenyewe najiulizaga sipati jibu... Itakua sababu zisizojulikana ..
  13. MsDynamite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu matatizo ya kisaikolojia (psychology problems)

    [emoji23][emoji23][emoji23] mtaalamu kakimbia
Back
Top Bottom