Recent content by Msayo

  1. M

    Filikunjombe: Wabunge wa CCM tunautumia wingi wetu vibaya

    Huyu mshikaji nilipata kumsikia akiongelea "ushushaji aka ufaulishaja" wa watoto wa std 7 kwenda form 1, nikamkubali. Kwa kweli yumo ktk orodha yangu ya wabunge wachache sana ambao huwa sipendi kukosa speech zao mjengoni. Keep up Deo.
  2. M

    Kigwangala, iwe ni kweli au si kweli, umejidhalilisha

    Hawa ndo madaktari ambao tunawategemea watutibu na kututunzia siri za magonjwa yetu. Tumekwisha, kama huu ndo udaktari, bora babu agundue kikombe kingine tukanywe kuliko kutibiwa na watu kam hawa.
  3. M

    Wabunge Filikunjombe, Msigwa waponda matokea darasa la saba

    Hapo ndipo ninapomkubali Deo Filikunjombe, (jembe Msigwa lile linajulikana tangu mwanzo hiyo ni akili kubwa). Deo Filikunjombe kwa chama alicho kuutoa ukweli kama ulivyo ni ujasiri na uzalendo ulioje. Hatupendi unafiki, tuna mifano halisi, watoto hata ukipambanisha na std4 hawezi kuperform leo...
  4. M

    Ukimya wa upinzani katika Matukio yanayotokea nchini, kulikoni?

    Kanigini, tuko wengi sana tunaosoma mawazo ya wenzetu humu JF bila ku-post kashfa kwa imani za wengine. Ni vema tukajadili issues kama great thinkers. Mimi ni mkristo mzuri tu, lakini sijapenda maneno uliyotumia kukashfu imani ya wenzetu. Kama tunaojiita GT tunashindwa kuchambua maneno ya...
  5. M

    Chama cha mapinduzi njombe kubaki katika vitabu vya historia 2014/5

    Huwa siwezi kujitambulisha kwa watu kuwa Makinda ni mbunge wa jimbo langu nilikozaliwa,ni aibu kwa jinsi anavyoshindwa kuliongoza bunge. Namkumbuka Sitta, ndiye ambaye bunge hili lilikuwa saizi yake lakini si huyu mama anaonyesha ukereketwa, udhaifu na upendeleo uliopitiliza. Makambako ndo...
  6. M

    NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

    Tatizo kubwa la waTZ wengi hatupendi kufikiri kwa kina hasa ktk mambo magumu (matatizo), tunakimbilia kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu, ndiyo maana hatuendi tunakotaka. Issue hata ikiwa wazi kiasi gani, lazima tutafute mchawi. Tumeruhusu akili ndogo kutawala akili kubwa (mh. Msigwa). Mtu...
  7. M

    Habari njema kwa mkoa wa Njombe na wana CCM wote !!!!!

    Hivi Njombe ulanzi (aina ya pombe ya kienyeji) unauzwaje vile?
  8. M

    Chadema yawasha moto Mkoa Mpya wa NJOMBE

    Hiyo nimeipenda, safi sana makamanda wetu. Pigeni kote kote, hata wazee wetu vijijini sasa wanatuelewa maana mwanzo tulikuwa tukitengwa kwa imani kwamba kuwa opposition parties tunajitakia vita, hali ni tofauti. Nendeni hadi Ilembula,Kipengere,Makoga, Ulembwe, Lugenge,Luponde,Uwemba,nk watu...
  9. M

    M4c kuitenga kanda ya magharibi, chadema kunani?!

    Katika mapambano yoyote lazima uwe na mahali pa kuanzia, na kabla hujasonga mbele jiridhishe kuwa umeacha msingi imara hapa unapotoka wasije adui wakavamia kiulaini. Nadhani ni suala la muda tu, lakini wewe na mimi pia tuna jukumu la kusafisha njia huko tunakotoka kwa kadiri ya uwezo wetu. We...
  10. M

    Wanahabari wa Iringa kumuweka kitimoto Mbunge wa Iringa Mjini!

    Kiganyi, sidhani kama kuna ukweli wowote kati ya heading, content na hizo picha. Ni vitu vitatu vinavyojitegemea kabisa. Sana sana naweza kusema kuna mchezo wa kisiasa hapo juu ya mch.Msigwa
  11. M

    Kwa dalili hizi, Mnyika kapoteza jimbo la Ubungo

    Kunguru Mweusi, hapo mimi sioni uhusiano baina ya kusafishwa ofisi za chama na hukumu ya kesi mahakamani. Sana sana ningeona mantiki kama kuna zaidi ya hicho ulichokiona, mfano hata tetesi tu toka kwa hao wafanya usafi. Otherwise, tuache hukumu ichukue nafasi yake.
  12. M

    JK Alikua akifurahia hoja za kuwawajibisha Mawaziri bungeni alipokua marekani..Ni kweli???

    JK ni mjanja, anajua jamii inataka kusikia nini au ina mtazamo gani, hivyo akinena kinyume hataeleweka, all in all ndivyo mchezo wa siasa ulivyo. Ndiyo maana mara nyingi huchuna kimyaaaaa, anasikilizia kwanza jamii inasemaje kwa ujumla, ndipo anaibuka kusema neno, hapingi japo pia anaweza...
  13. M

    Picha: Mwenyekiti wa CHADEMA alivyochinjwa... [Extreme Images]

    Huu ni unyama wa kutisha. Kama siasa zimetufikisha waTz hapo, ni wazi tumemsahau hata Muumba wetu. Siasa zisitutoe utu wetu. Mungu amrehemu kamanda wetu.
  14. M

    Sitta alikuwa sahihi kuhusu Makinda?

    Kiti kile kimempwaya sana yule mama. Sitta pamoja na mapungufu yake lakini alijitahidi kiasi kuleta 'uhuru' bungeni.
  15. M

    Lissu asimama kizimbani kwa masaa 3:30

    Jipe moyo Tundu Lissu, ushindi upo karibu. Nakukubali sana kwa hoja zako. Pamoja sana.
Back
Top Bottom