Habari njema kwa mkoa wa Njombe na wana CCM wote !!!!!

Huyo CEO wa BARRICK GOLD, Deo Mwanyika tutamwona wa maana kama atachagua CHADEMA ili atusaidie kutusemea mgenjoni kwani ndani ya CCM ataambukizwa ulafi na hatimaye kuwasahau Wananjombe.
 
Huyu girini staa sijui anaishi dunia gani,anaizungumzia njombe ya nchi gani.

Njombe nnayoijua mimi,ni aibu kubwa kujitambulisha kama mwanachama wa ccm,utazomewa ukivaa nguo za ccm,wazee wenyewe wanakiri inabid wafiche flana zao na kofia wanapoenda kwenye mikutano ya ccm,wanavaa wanapofika eneo la mkutano na kuvua haraka sana mkutano ukiisha,muanzisha thread nakushauri uende pale kituoni njombe kwa macheche halafu ongea hayo maneno,ila uandae na ffu manake kitakachokukuta hakielezeki
 
We uliyeleta hii thread ni lofa tena ni taira kabisa kwasababu unavita binafsi ambayo ni ujinga kabisa! kwa mawazo ya kijinga kama haya wakiwa watu kumi tu njombe haiwezi kuendelea kama unavyofikiri. Pumbavu kabisa wewe ebu badiri namna yako ya kufiri> utataka kutuharibia mkoa wetu wewe!
 
Nifuraha ya kipekee kuona Mkoa Mpya wa NJOMBE ni unapaa katika medali za kisiasa na kiuchumi baada yakuwa na WABUNGE MAKINI kutoka CCM wenye taaluma na uzoefu uliotukuka katika kuhamasisha maendeleo.Ukizingatia tuna MKUU wa MKOA mchapakazi asiyependa porojo hakika NJOMBE itapaa sana katika ukanda wa KUSINI nakuwa kitovu cha UCHUMI kutokana na rasilimali zilizopo kama MCHUCHUMA na LIGANGA,MISITU ya MBAO,CHAI,PARETO,ALIZETI na MAHARAGE yanatosha kugeuza mkoa huu kuwa kitovu cha uchumi.

Pongezi za dhati kwa wabunge hawa;

Mh.Deo Filikunjombe
Mh.Anne Makinda
Mh.Eng.Gerson Lwenge(NW UJENZI)
Mh.Dkt.Binilith Mahenge(NW MAJI)
Mh.Jah People

Hawa viongozi pamoja na MKUU wa MKOA Mh.Msangi wataleta mapinduzi ya maendeleo kwa kutumia taaluma zao na uzoefu katika kazi,Rai yangu kwa WANANJOMBE wote,tuwape ushirikiano katika kuharakisha maendeleo ya MKOA wetu.

Pia tuache kuyumbishwa na propaganda za wanasiasa UCHWARA kama NYIMBO eti ataleta maendeleo? Wananjombe si VIPOFU wala si VIZIWI wala si ZEZETA kana kwamba NYIMBO ni mgeni katika siasa za NJOMBE,alipata nafasi miaka 10 huko nyuma akasahau wajibu wake wakuwatumikia wananchi akawa nachumia TUMBO,wanaCCM wamegundua JANJA yake anakimbilia CHADEMA,salamu zake,ASAHAU kurudi kutawala tena na NJOMBE ina watu makini na WASOMI wanaojua ukweli wa mambo.

Kisa cha kweli ninachokikumbuka,alinunua PIKIPIKI 25 ili awape VIJANA wake wakati wa kampeni akiamini atashinda UBUNGE,kwa bahati mbaya alishagawa chache kwa viongozi kadhaa,lakini aliposhindwa aliwaiita wote NYUMBANI KWAKE akiwadanganya anafanya SHEREHE ya KUJILIWAZA na kujipanga UPYA kwa uchaguzi UJAO...wale watu wakaenda na mbwembwe zao na PIKIPIKI za HONGO walipofika akawageuzia KIBAO na KUWANYANG'ANYA Pikipiki zote !
Huyu ndiyo NYIMBO yule mjanja mjanja ambaye anahangaika kurudi kwenye SIASA,pole sana bw.NYIMBO kwa kufulia hadi unaamua kunyang'anya pikipiki za MCHINA zenye thani ya Mil.25.

Kama wewe mjanja fufua chama chako cha PONA ili uone siasa siyo poroja bali UTENDAJI.....tunafahamu unavizia kuwa Mnykt.wa CHADEMA kwa vile huna kazi ya kufanya....sasa hivi umewajengea kibanda cha OFISI pale WANGING'OMBE na kukibatiza ofisi za CHADEMA mkoa wa NJOMBE,imekula kwako kwani hutaweza kunyang'anya pale watakapo kupiga chini kama ulivyotupwa na CHIKU ABWAO katika MKOA wa IRINGA.
\
Nakushauri nunua trekta ulime KARANGA na alizeti ili tudumishwe UCHUMI wetu badala ya kuzunguka vijijini ukifungua matawi hewa na kutumia mitandao ya KIJAMII na magazeti wakusifie kwa habari za kufikirika.

Wananjombe msidanganyike na huyu NYIMBO,ameshahujumu shule za WAZAZi za WANGING'OMBE na MTWANGO hadi zikashuka kitaaluma kwa ulafi wake,barabara hazipitiki,na miradi ya umeme ilikwamishwa na yeye baada ya YONO kumshinda katika UCHAGUZI...kwa ufupi anataka kuwatapeli tena...basio msipoteze muda wenu kuhudhuria mikutano yake...Ukisikia anakuja basi wewe wahi shambani au kazini kwako ukijitafutie riziki yako....Tufanye kazi kwa bidii ili tupate maendeleo yetu na familia zetu.Kuwa MBUNGE siyo suluhisho kama hakuna nia ya dhati kuwatumikia wananchi.

SIASA za NJOMBE si za kishabiki kama mikoa mingine,tunahitaji watendaji makini ambao tayari tunao wakutosha ambao wapo tayari kushirikia na WABUNGE wao !!!!!!!!

Nawassilisha
Njombe kila sehemu inafaa Kwa kilimo maji tele hakuna sehemu yenye uhaba wa maji tena geographically unaweza tega maji bilateral hata ya machine na watu wakapata maji mf Mavanga , Luhororo, boimanda matola nk. Lkn kotehuko ni wamisionary ndio wamefanya hayo serikali ya CCM ipo, huyo makinda yupo, barabara zote mbovu madaraja ndio usiseme uwanja wa ndg umekufa, pembejeo za kilimo ni shida na mazao bei wanatupangia wakenya, na nilazima tuuze coz no option wabunge, wapo silent kisha ms.h.e.n.z.i. Mmoja unaleta, utani na ujinga wako kwa kutusemea jamvini? Acha hauna uchungu na NJMB tuachie wenyewe. Endelea kuwalamba miguu hao mafisadi
 
Nifuraha ya kipekee kuona Mkoa Mpya wa NJOMBE ni unapaa katika medali za kisiasa na kiuchumi baada yakuwa na WABUNGE MAKINI kutoka CCM wenye taaluma na uzoefu uliotukuka katika kuhamasisha maendeleo.Ukizingatia tuna MKUU wa MKOA mchapakazi asiyependa porojo hakika NJOMBE itapaa sana katika ukanda wa KUSINI nakuwa kitovu cha UCHUMI kutokana na rasilimali zilizopo kama MCHUCHUMA na LIGANGA,MISITU ya MBAO,CHAI,PARETO,ALIZETI na MAHARAGE yanatosha kugeuza mkoa huu kuwa kitovu cha uchumi.

Pongezi za dhati kwa wabunge hawa;

Mh.Deo Filikunjombe
Mh.Anne Makinda
Mh.Eng.Gerson Lwenge(NW UJENZI)
Mh.Dkt.Binilith Mahenge(NW MAJI)
Mh.Jah People

Hawa viongozi pamoja na MKUU wa MKOA Mh.Msangi wataleta mapinduzi ya maendeleo kwa kutumia taaluma zao na uzoefu katika kazi,Rai yangu kwa WANANJOMBE wote,tuwape ushirikiano katika kuharakisha maendeleo ya MKOA wetu.

Pia tuache kuyumbishwa na propaganda za wanasiasa UCHWARA kama NYIMBO eti ataleta maendeleo? Wananjombe si VIPOFU wala si VIZIWI wala si ZEZETA kana kwamba NYIMBO ni mgeni katika siasa za NJOMBE,alipata nafasi miaka 10 huko nyuma akasahau wajibu wake wakuwatumikia wananchi akawa nachumia TUMBO,wanaCCM wamegundua JANJA yake anakimbilia CHADEMA,salamu zake,ASAHAU kurudi kutawala tena na NJOMBE ina watu makini na WASOMI wanaojua ukweli wa mambo.

Kisa cha kweli ninachokikumbuka,alinunua PIKIPIKI 25 ili awape VIJANA wake wakati wa kampeni akiamini atashinda UBUNGE,kwa bahati mbaya alishagawa chache kwa viongozi kadhaa,lakini aliposhindwa aliwaiita wote NYUMBANI KWAKE akiwadanganya anafanya SHEREHE ya KUJILIWAZA na kujipanga UPYA kwa uchaguzi UJAO...wale watu wakaenda na mbwembwe zao na PIKIPIKI za HONGO walipofika akawageuzia KIBAO na KUWANYANG'ANYA Pikipiki zote !
Huyu ndiyo NYIMBO yule mjanja mjanja ambaye anahangaika kurudi kwenye SIASA,pole sana bw.NYIMBO kwa kufulia hadi unaamua kunyang'anya pikipiki za MCHINA zenye thani ya Mil.25.

Kama wewe mjanja fufua chama chako cha PONA ili uone siasa siyo poroja bali UTENDAJI.....tunafahamu unavizia kuwa Mnykt.wa CHADEMA kwa vile huna kazi ya kufanya....sasa hivi umewajengea kibanda cha OFISI pale WANGING'OMBE na kukibatiza ofisi za CHADEMA mkoa wa NJOMBE,imekula kwako kwani hutaweza kunyang'anya pale watakapo kupiga chini kama ulivyotupwa na CHIKU ABWAO katika MKOA wa IRINGA.
\
Nakushauri nunua trekta ulime KARANGA na alizeti ili tudumishwe UCHUMI wetu badala ya kuzunguka vijijini ukifungua matawi hewa na kutumia mitandao ya KIJAMII na magazeti wakusifie kwa habari za kufikirika.

Wananjombe msidanganyike na huyu NYIMBO,ameshahujumu shule za WAZAZi za WANGING'OMBE na MTWANGO hadi zikashuka kitaaluma kwa ulafi wake,barabara hazipitiki,na miradi ya umeme ilikwamishwa na yeye baada ya YONO kumshinda katika UCHAGUZI...kwa ufupi anataka kuwatapeli tena...basio msipoteze muda wenu kuhudhuria mikutano yake...Ukisikia anakuja basi wewe wahi shambani au kazini kwako ukijitafutie riziki yako....Tufanye kazi kwa bidii ili tupate maendeleo yetu na familia zetu.Kuwa MBUNGE siyo suluhisho kama hakuna nia ya dhati kuwatumikia wananchi.

SIASA za NJOMBE si za kishabiki kama mikoa mingine,tunahitaji watendaji makini ambao tayari tunao wakutosha ambao wapo tayari kushirikia na WABUNGE wao !!!!!!!!

Nawassilisha
OMG! Sijui nianzie wapi??? Hao WanaNjombe unaotaka kuwadanganya ni akina nani? Kuna maendeleo gani yapo Njombe hata sasa??? Barabara kuu moja, lami imechakaa, nyumba za miaka 47 kweusi, Halmashauri imeoza, Polisi ndio usiseme. Njombe ni wakulima ndio wanaojibidisha bila msaada wowote wa serikali...hao uliowataja nani aliyeleta maendeleo Njombe kama porojo tu. Anna Makinda amekuwa waziri tangu enzi za mababu nini alichokifanya Njombe...nafuu ya Makweta alijitahidi kujenga shule kila pembe ya Njombe. Mtoa mada acha kutudanganya ccm ni waongo na wanafiki. Njombe ipo tayari kwa mabadiliko wewe kalaga bahao...Unayaona ya Arusha subiri Nyanda za Juu Kusini wembe utawanyoa vibaraka. Tumechoshwa na UDANGANYIFU, WIZI, UNAFIKI, UONGO, NA ZAIDI UFISADI KILA PEMBE YA TANZANIA.
 
Wasomi wote wanaungana na WABUNGE hao katika harakati za kuijenga NJOMBE mpyaaaaaaaa....SIASA za CHADEMA hazina nafasi kwa wanaNJOMBE....akitoka Mh.Makinda anakuja Mh.Manyika(CEO wa BARRICK),je CHADEMA ina wasomi gani wakuwasimamisha mwaka 2015? hatutaki poroja tunataka vitendo zaidi.....bado sisi vijana hatujatangaza nia bado tunapiga shule huku ughabuni...yaani huku ni mwendo wa masters na phd yote hii ni kwaajili yakuwatumikia wana NJOMBE na taifa zima !....Nikimuona NYIMBO natamani kutapika,anatia kichefu chefu alivyoyumbisha maendeleo katika halimashauri ya Njombe....Vipi zile biashara haramu ameacha???????????

naona ulikuwa unataka tujue kuwa upo ughaibuni...
hata hivyo sisi vijana wa njombe tumechoka na siasa uchwara za ccm-magamba hizo rasilimali unazosema zitainua mkoa mimi tangu nazaliwa nazisikia mlikuwa wapi ninyi ccm kuzitumia ili zililete maendeleo, huyo Anna makinda (bibi kiroboto) wako yupo bungeni kabla sijazaliwa kwahiyo unataka kusema miaka hiyo yote haijamtosha tumuongeze mingine..hatudanganyiki sasa na bora mkajiweka pembeni muepushe msongamano.....

unaosema mnawasomi si ndo haohao mafisadi wanaotuibia wanatusaidia nini... kwanza ubunge sio proffession kiasi kwamba hatuhitaji wenye Phd.....na huyo JAH PEOPLE ni msomi....
 
Kama THOMAS NYIMBO hakuleta maendeleo Njombe Magharibi nani aliyeleta: umeme vijiji vya Igwachanya mwaka 2004? Barabara ya rami kutoka Halali mbaka Ilembula Hospital? Madaraja yanayounganisha vijiji tofauti likiwepo la Matowo Ilembula? Nyimbo alikuwa mkali hata upande wa afya na elimu ndiyo maana waganga wa vituo vya afya vya Palangawanu walihamishwa na wakuu wa shule za msingi Kijombe walihamishwa pale walipofanya madudu! Mapungufu ya NYIMBO ilikuwa ni matusi tu.

Tukija upande wa ANNA MAKINDA hajafanya lolote hapo Njombe hata barabara moja haina lami hata ya kudanganyishia ukiachilia mbali barabara ya kutoka Mapato hadi Soko kuu nyuma ya kanisa Katoliki.Pamoja na Njombe kuzungukwa na rasilimali maji lakini mji wa Njombe unauhaba wa maji mkubwa kabisa. Hebu nenda upande wa usafiri mtu kama hana hela ya taxi hawezi kufika Kibena Hospital kutoka Njombe mjini kwa sababu daladala zilipigwa marufuku kwa shinikizo la wakubwa. Leo hii Yakobi hakuna maji wala umeme nyumbani kwa Anna pamoja na kwamba nyaya zimepita karibu kutoka Uwemba kwenda Luponde.

ANNA MAKINDA, Mayor Edwin Mwanzinga na Nguvila mwenyekiti wa halmashauri hebu mjiulize kwa nini huyo Mkurugenzi Mohamed Mkupete pamoja na watendaji wengine wa mji na wilaya wanautajiri mkubwa hivo?

Huu ni wakati wa kuweka pembeni itikadi za kichama na kuona wale waliopewa dhamana basi wanawajibika ipasavyo siyo kuendelea kuwaweka watu wanaotegemea eti watoe hela zao za mfukoni(Deo Sanga a.k.a Jah People) badala ya kusimamia utendaji wa serikali.

Veya mwagito, nimekupenda. Unaijua Njombe na madudu anayofanya Alikwina, Asiyesoma shule ni Deo kabisa na Lwenge.

Ukimya wetu wana Njombe unatugharimu.
 
Nifuraha ya kipekee kuona Mkoa Mpya wa NJOMBE ni unapaa katika medali za kisiasa na kiuchumi baada yakuwa na WABUNGE MAKINI kutoka CCM wenye taaluma na uzoefu uliotukuka katika kuhamasisha maendeleo.Ukizingatia tuna MKUU wa MKOA mchapakazi asiyependa porojo hakika NJOMBE itapaa sana katika ukanda wa KUSINI nakuwa kitovu cha UCHUMI kutokana na rasilimali zilizopo kama MCHUCHUMA na LIGANGA,MISITU ya MBAO,CHAI,PARETO,ALIZETI na MAHARAGE yanatosha kugeuza mkoa huu kuwa kitovu cha uchumi.

Pongezi za dhati kwa wabunge hawa;

Mh.Deo Filikunjombe
Mh.Anne Makinda
Mh.Eng.Gerson Lwenge(NW UJENZI)
Mh.Dkt.Binilith Mahenge(NW MAJI)
Mh.Jah People

Hawa viongozi pamoja na MKUU wa MKOA Mh.Msangi wataleta mapinduzi ya maendeleo kwa kutumia taaluma zao na uzoefu katika kazi,Rai yangu kwa WANANJOMBE wote,tuwape ushirikiano katika kuharakisha maendeleo ya MKOA wetu.

Wewe kama si Bibi Kiroboto basi ni yule binti yake asiyemjua baba
 
Huyo CEO wa BARRICK GOLD, Deo Mwanyika tutamwona wa maana kama atachagua CHADEMA ili atusaidie kutusemea mgenjoni kwani ndani ya CCM ataambukizwa ulafi na hatimaye kuwasahau Wananjombe.
Bwana wewe, huyo jamaa tayari ni mlafi na sio ataambukizwa! Yeye mpaka sasa amekuwa mpini wa shoka linalokata na kuteketeza maliasili(dhahabu) ya Tanzania kwa manufaa ya wageni.
 
Hata bi kiroto yupo? Eti ccm waipongeza! Miaka mingapi wamewaongoza wameshindwa kuwaletea maendeo wakawatee too late afu mnawasifu isitoshe ni wajibu wao kwani ndicho mlichowatuma bungeni
 
Sasa we mleta mada unasifia mkoa wa Njombe au unamsema Nyimbo.....? Hapa tunawahitaji watu wenye kuleta mada zinazostahili kuchangiwa na waelewa wa hapa JF, naomba ujipange upya.
 
Kuna tofauti gani hapo kwenye RED???
....Naona jana mmepata jibu kamili kuwa CCM ipo imara ndani ya NJOMBE,pamoja na WABUNGE wenu kushambulia jukwaa mmeweza kuwatapeli wanaNJOMBE mil.1.5 tuuuuuuuuuu,mnataka kuwatumia wananchi kujilipa mishahara bila kufanya kazi? Mnatumia nguvu nyingi bila akili...Uchaguzi mwaka 2015 lakini nyinyi mnafanya kampeni leo hiyo ni hujuma na kuwapotezea muda wa kufanya kazi za kujenga uchumi wao ! Wangapi walijiunga na CHADEMA ???

T.NYIMBO lazima uchanganyikiwe zaidi ,si muda mrefu utaokota makopo kama siyo mbeta za ulanzi.....vipi matusi umeacha siku hizi??????????????
 
sijajua lengo la mtoa mada hampendi Nyimbo au haipendi chadema. Kwa maana haeleweki lengo lake hasa ni nini.?

Ndio style Yao Magamba siku Hz wanajaribu kuchafua hata wasiochafuka kwa urahisi.
 
Wasomi wote wanaungana na WABUNGE hao katika harakati za kuijenga NJOMBE mpyaaaaaaaa....SIASA za CHADEMA hazina nafasi kwa wanaNJOMBE....akitoka Mh.Makinda anakuja Mh.Manyika(CEO wa BARRICK),je CHADEMA ina wasomi gani wakuwasimamisha mwaka 2015? hatutaki poroja tunataka vitendo zaidi.....bado sisi vijana hatujatangaza nia bado tunapiga shule huku ughabuni...yaani huku ni mwendo wa masters na phd yote hii ni kwaajili yakuwatumikia wana NJOMBE na taifa zima !....Nikimuona NYIMBO natamani kutapika,anatia kichefu chefu alivyoyumbisha maendeleo katika halimashauri ya Njombe....Vipi zile biashara haramu ameacha???????????

huyu jamaa ni ***** balaaaaaaaa!!!!! yaani hawa ndo watu wa kupiga risasi, sisi wanaccm wenyewe tunatamani mwisho wa ccm uwe hata leo wewe unaleta hutani!!!!! yaani we ndo ***** namba moja
 
....Naona jana mmepata jibu kamili kuwa CCM ipo imara ndani ya NJOMBE,pamoja na WABUNGE wenu kushambulia jukwaa mmeweza kuwatapeli wanaNJOMBE mil.1.5 tuuuuuuuuuu,mnataka kuwatumia wananchi kujilipa mishahara bila kufanya kazi? Mnatumia nguvu nyingi bila akili...Uchaguzi mwaka 2015 lakini nyinyi mnafanya kampeni leo hiyo ni hujuma na kuwapotezea muda wa kufanya kazi za kujenga uchumi wao ! Wangapi walijiunga na CHADEMA ???

T.NYIMBO lazima uchanganyikiwe zaidi ,si muda mrefu utaokota makopo kama siyo mbeta za ulanzi.....vipi matusi umeacha siku hizi??????????????

we utakua bingwa rivasi au yule aliekua waziri wa Sadam.!!
 
Nifuraha ya kipekee kuona Mkoa Mpya wa NJOMBE ni unapaa katika medali za kisiasa na kiuchumi baada yakuwa na WABUNGE MAKINI kutoka CCM wenye taaluma na uzoefu uliotukuka katika kuhamasisha maendeleo.Ukizingatia tuna MKUU wa MKOA mchapakazi asiyependa porojo hakika NJOMBE itapaa sana katika ukanda wa KUSINI nakuwa kitovu cha UCHUMI kutokana na rasilimali zilizopo kama MCHUCHUMA na LIGANGA,MISITU ya MBAO,CHAI,PARETO,ALIZETI na MAHARAGE yanatosha kugeuza mkoa huu kuwa kitovu cha uchumi.

Pongezi za dhati kwa wabunge hawa;

Mh.Deo Filikunjombe
Mh.Anne Makinda
Mh.Eng.Gerson Lwenge(NW UJENZI)
Mh.Dkt.Binilith Mahenge(NW MAJI)
Mh.Jah People

Hawa viongozi pamoja na MKUU wa MKOA Mh.Msangi wataleta mapinduzi ya maendeleo kwa kutumia taaluma zao na uzoefu katika kazi,Rai yangu kwa WANANJOMBE wote,tuwape ushirikiano katika kuharakisha maendeleo ya MKOA wetu.

Pia tuache kuyumbishwa na propaganda za wanasiasa UCHWARA kama NYIMBO eti ataleta maendeleo? Wananjombe si VIPOFU wala si VIZIWI wala si ZEZETA kana kwamba NYIMBO ni mgeni katika siasa za NJOMBE,alipata nafasi miaka 10 huko nyuma akasahau wajibu wake wakuwatumikia wananchi akawa nachumia TUMBO,wanaCCM wamegundua JANJA yake anakimbilia CHADEMA,salamu zake,ASAHAU kurudi kutawala tena na NJOMBE ina watu makini na WASOMI wanaojua ukweli wa mambo.

Kisa cha kweli ninachokikumbuka,alinunua PIKIPIKI 25 ili awape VIJANA wake wakati wa kampeni akiamini atashinda UBUNGE,kwa bahati mbaya alishagawa chache kwa viongozi kadhaa,lakini aliposhindwa aliwaiita wote NYUMBANI KWAKE akiwadanganya anafanya SHEREHE ya KUJILIWAZA na kujipanga UPYA kwa uchaguzi UJAO...wale watu wakaenda na mbwembwe zao na PIKIPIKI za HONGO walipofika akawageuzia KIBAO na KUWANYANG'ANYA Pikipiki zote !
Huyu ndiyo NYIMBO yule mjanja mjanja ambaye anahangaika kurudi kwenye SIASA,pole sana bw.NYIMBO kwa kufulia hadi unaamua kunyang'anya pikipiki za MCHINA zenye thani ya Mil.25.

Kama wewe mjanja fufua chama chako cha PONA ili uone siasa siyo poroja bali UTENDAJI.....tunafahamu unavizia kuwa Mnykt.wa CHADEMA kwa vile huna kazi ya kufanya....sasa hivi umewajengea kibanda cha OFISI pale WANGING'OMBE na kukibatiza ofisi za CHADEMA mkoa wa NJOMBE,imekula kwako kwani hutaweza kunyang'anya pale watakapo kupiga chini kama ulivyotupwa na CHIKU ABWAO katika MKOA wa IRINGA.
\
Nakushauri nunua trekta ulime KARANGA na alizeti ili tudumishwe UCHUMI wetu badala ya kuzunguka vijijini ukifungua matawi hewa na kutumia mitandao ya KIJAMII na magazeti wakusifie kwa habari za kufikirika.

Wananjombe msidanganyike na huyu NYIMBO,ameshahujumu shule za WAZAZi za WANGING'OMBE na MTWANGO hadi zikashuka kitaaluma kwa ulafi wake,barabara hazipitiki,na miradi ya umeme ilikwamishwa na yeye baada ya YONO kumshinda katika UCHAGUZI...kwa ufupi anataka kuwatapeli tena...basio msipoteze muda wenu kuhudhuria mikutano yake...Ukisikia anakuja basi wewe wahi shambani au kazini kwako ukijitafutie riziki yako....Tufanye kazi kwa bidii ili tupate maendeleo yetu na familia zetu.Kuwa MBUNGE siyo suluhisho kama hakuna nia ya dhati kuwatumikia wananchi.

SIASA za NJOMBE si za kishabiki kama mikoa mingine,tunahitaji watendaji makini ambao tayari tunao wakutosha ambao wapo tayari kushirikia na WABUNGE wao !!!!!!!!

Nawassilisha

Miaka 50 pamoja na rasilimali zote hizo bado mkoa wa Iringa
ni kati ya mikoa maskini hapa Tanzania.
Huoni aibu ya kusifia upuuzi huu.
 
greenstar Umenilazimisha kulog in JF kwa sababu ya upuuzi wako....toka lin wananchi wa njombe tumekuchagua utukane watu hivyo....we ni jamii ya kina Lusinde....matusi kwenu chai....kwa taarifa yako wananchi wa mkoa mpya wa Njombe tumesha amka tumetambua uozo....hatuta kubali hadi kieleweke
...muulize NYIMBO ana degree ya matusi....huku elimu yake ni ya magumashi japo alibahatika kuwa shushushu pale usalama wa taifa !!!!!!!!!! nashangaa leo hii anamtukana JAH PIPO ati hajasoma?
 
Back
Top Bottom