Sitta alikuwa sahihi kuhusu Makinda?

Huyu mama Makinda hana msimamo kabisa, kifupi ni afadhali Ndugai awe spika kuliko huyu mama, anaboa!!!, kila hoja anakataa, huu ni unafiki, namshauri asimamie haki then atakumbukwa daima kwa mazuri!!!
 
Inasikitisha kuona viongozi vigeugeu kama makinda; kinachoonekana happ dom kuna siku moja siasa za kweli zitazaliwa baada vifo vya siasa za ukweli. Kwangu mie naona naona sita kwa kipindi kile alikuwa sahihi lakini sasa hivi ndio tunaona msaidizi wake kama yeye tu alieanzisha richmond akashindwa kusimamia mapendekezo ya bunge hadi anaondoka.
 
Kiti kile kimempwaya sana yule mama. Sitta pamoja na mapungufu yake lakini alijitahidi kiasi kuleta 'uhuru' bungeni.
 
Ndio maana kikwete na serikali yake wamempa tuzo ili kumzima km alikuwa na nia ya kuisulubu serikali
 
Wataalam wanamwita Bibi Kiroboto. Aliyempatia jina hilo hakukosea. Anasifa zote za Bi Kiroboto. Kinachonichefua ni hao waliompa hiyo nafasi. Hata kama walitaka kulinda maslahi yao, lakini si kwa gharama ya maisha ya watanzania!
 
Back
Top Bottom