Recent content by Msanze Swed

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha jiji la Mwanza,mbunge wa CHADEMA ndiye hatari zaidi

    Wewe Chagulani ni ccm sasa ulikua wapi siku zote mpaka leo ndio unajitokeza kuyasema haya? Dogo nakwambia unatumika vibaya sana na jaribu kuwaangalia wana siasa waliotumiwa na ccm leo wana hali gani? Watakutumia mwisho wa siku wanakuona kama karai baada ya ujenzi. Jaribu kukumbuka siku moja...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta: Sina muda wa kulumbana na UKAWA

    Mbona hakuna watu au dau lilikua dogo? Samweli 6 kajihujum mwenyewe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Alia hadharani hakupiga kura ya Ndio katika Katiba

    Na bado tutajua mambo mengi tu kuhusu bmk
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Arusha - Tar 08.10.2014

    Picha za matukio nimuhim kamanda
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sitta: Mnyika niheshimu kama mzee na mzazi wako, Je Warioba sio mzee na mzazi?

    Akagombee kwa mashoga wenzake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Renatus Pamba wa CHADEMA kumvaa Festus Limbu wa CCM

    Nilikua jimbo la Buchosa kwa Tizeba na wao wanamkabizi jimbo Martin kaswahili jimbo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Siku ya Walimu Kitaifa, Bukoba - Kagera, Oktoba 5, 2014

    Hakuna bango la kupinga waraka wa wasaka tonge waliokua kule Bmk
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makonda na political boost toka kwa Sitta

    Nani awakilishwe na shoga
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bunge la Katiba yapata dosari tena, waliopiga kura ya hapana watishiwa maisha

    Huyo Makonda atakua na kasoro sio bure
  10. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya HAPANA yataandikwa kwa rakili za chuma mioyoni mwa Watanzania

    Sijaelewa maana naona Samweli6 anasema mambo yanaenda sawa sasa kweli hiyo 2/3 ndio jusema wataupata kweli?
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

    Hali hiyo imejitokeza mkutano ulipomalizika ndio wanachama na wapenzi wa chadema walipoingia barabarani na kuanza maandamano huku wakiimba nyimbo za chama, Na kusukuma gari walilopanda viongozi wa chama. Na polisi wakiwasindikiza,
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

    Polisi ndio waanzisha fujo wakubwa sasa sijui nani aliwaita pale
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

    Hali hiyo imejitokeza mkutano ulipomalizika ndio wanachama na wapenzi wa chadema walipoingia barabarani na kuanza maandamano huku wakiimba nyimbo za chama, Na kusukuma gari walilopanda viongozi wa chama. Na polisi wakiwasindikiza,
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

    Picha za matukio tafadhali
  15. M

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa yuko star tv

    Anaongelea nini hasa
Back
Top Bottom