Renatus Pamba wa CHADEMA kumvaa Festus Limbu wa CCM

Renatus Pamba wa CHADEMA kumvaa Festus Limbu wa CCM

Joined
Aug 15, 2014
Posts
78
Reaction score
32
Kutokana na mbunge wa CCM bw. Festus Limbu kusema kuwa, ''kwa niamba ya wananchi wa Magu'' katika upitishaji wa Rasimu ya katiba katika bunge la katiba wananchi wa Magu wamekasirishwa na kauli hiyo na wamepanga kufanya mapokezi ya kutisha kumpokea kijana wao Renatus Pamba na kumkabidhi mikoba yote kama muwakilishi wao.

Hii imetokana na wananchi hao wa Magu kuchukia kuhusishwa katika kulinajisi taifa kwa kupitisha rasimu ya katiba isiyoungwa mkono na wananchi walio wengi.
 
Moshi vijijini hivyo hivyo wananchi wamesema wanamkabidhi jimbo Anthony Komu wa chadema.mbunge wao chami amewasaliti.
 
Nilikua jimbo la Buchosa kwa Tizeba na wao wanamkabizi jimbo Martin kaswahili jimbo
 
hawa wanasiasa jinsi walivyo na tambo. kila kona ya nchi wanaibuka na tambo za matumaini utafikiri nao wamekuwa ma messiahs.
 
Kutokana na mbunge wa ccm bw Festus Limbu kusema kuwa kwa niamba ya wananchi wa Magu katika upitishaji wa katiba ya chenge wananchi wa Magu wamepanga mapokezi ya kutisha kumpokea kijana wao Renatus Pamba na kumkabidhi mikoba yote kama muwakilishi wao hii imetokana na wananchi hao wamechukia kuhusishwa katika kulinajisi taifa

Unalosema ni kweli kwa wale wanaofahamu jimbo la magu nilikua kata ya shishani na kabila ni kama km40 toka magu mjini na vijiji vya kayenze hakika wana magu wamekua wakali hawamtaki tena limbu kwani amewasaliti.
 
Sasa ndio umeanzisha topiki gani hapa? kama huna topiki ya maana, soma michango ya wenzako.
 
CDM mpango wa Mungu Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu
 
Sasa ndio umeanzisha topiki gani hapa? kama huna topiki ya maana, soma michango ya wenzako.

pyuuuuuuuuuuuuuuuu huyu nae sijui kakurupukia wapi kama huna cha kuchangia nyamaza wenzako wachangie
 
Limbu alishajichokea siku nyingi kihalisia Ngongoseke alikuwa amempiga vibaya. Cheyo sina imani nae.....ni km alihusika vile...... CDM ikijipanga vzr na watia nia wote lao liwe moja kuwa yule atakae pita kwenye kinyang'anyilo cha kumpata mgombea wengine wawe nyuma yake,Limbu hana chake Magu! Ila tu angalizo langu ni je! Watia nia hawatasalitiana!? CDM iwe tu makini kumteua yule ambaye atatutoa pale tulipoachwa na wazee wetu kina Mabawa na Kapunda na kutupeleka hatua nyingine. Kitu ambacho Dr kashindwa yy anawasemea wafu wa Dar kwa niaba ya wanamagu. Tupate mtu atakae wasemea wanamagu! Style ya kina Limbu tumechoka nao!
 
Back
Top Bottom