Makonda na political boost toka kwa Sitta

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
8,873
Reaction score
1,925
Wana JF
Heshima yenu .
Mimi nimeona kundi la Sitta , Mwakyembe na matumizi ya vijana wao kuelekea uchaguzi mkuu. Mchumia tumbo Makonda hatimaye kapewa a really kick kwenye baraza la Katiba vya kutosha na ni wazi kabisa Sitta did all he could kumpa kick huyu kijana wa kundi lao kuonekana zaidi . Haya ndiyo niliyo au wewe unasemaje ?

Makonda alisema anawakilisha vijana wa Tanzania , je wadau mnao jitambua ni kweli Makonda alikuwa anawawakilisha had katia kura ?
 
nlishndwa kula cku ile baada ya makonda kusema anatuwakilsha vjana watz na jf. af utashangaa anepewa cheo cku za uson
 
Hivi Makonda ni Anti-,Lowasa siyo? Basi yupo team ambayo Sitta ana maslahi nayo.Halafu alivyosema alidhani kuwa Sitta na Chenge hawawezi fanya kazi pamoja hivi alimaanisha nini?
 
Uwezo wake wa kufikiri maana yeye ni madaraka tu hakuna zaidi .
 
Wana JF
Heshima yenu .
Mimi nimeona kundi la Sitta , Mwakyembe na matumizi ya vijana wao kuelekea uchaguzi mkuu. Mchumia tumbo Makonda hatimaye kapewa a really kick kwenye baraza la Katiba vya kutosha na ni wazi kabisa Sitta did all he could kumpa kick huyu kijana wa kundi lao kuonekana zaidi . Haya ndiyo niliyo au wewe unasemaje ?

Makonda alisema anawakilisha vijana wa Tanzania , je wadau mnao jitambua ni kweli Makonda alikuwa anawawakilisha had katia kura ?

Mkuu Lunyungu shida ya kuwapa kick watu wasio jielewa ni hii kama Makonda. Yeye kapewa muda mwingi sana kuzungumza na kwa nafasi za kutosha. Badala ya kutumia nafasi hizo kuja na hoja za kufikirisha yeye akatumia muda mrefu kuja na siasa za wazee waliochoka za vijembe na kebehi. Alionyesha dhahiri kupenda kutumia jina la Mbowe ili ashangiliwe bila kujua kuwa upande wa pili anajiharibia image yake kutoka kwa watu makini.
Hata aliposema anawawakilisha vijana ona wenyewe walivyokuja juu! Wanajisikia aibu kukubali kuwa Makonda anaweza kuzungumza "pumba" zake kisha akajinadi eti anawakilisha wao.
 
Last edited by a moderator:
Wewe kuna sehemu umelalamika kuwa Jf imeharibika siku hizi na kwa sasa unaingia tu kusoma na kuondoka lakini cha kushangaza, kwa sasa unakuja hapa na hoja za kumjadili mtu wakati wewe umejificha kwenye fictitious name kama mimi.

Sasa sijui nani ameiharibu Jf kama na wewe siyo mmojawapo!.

Eleanor Roosevelt once said, Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people.
 
Wakati huo utuambie na idadi ya wajumbe wa BMK kutoka ZNZ.
 
Mchumia Tumbo asiye jijua muulize kwa nn aligombana na Katongo,uyu jamaa anapenda kujipendekeza kwa sita na mwakyembe ili wamuweke mjin
 
Muda mwingi alijitahidi kuongea kama vile Mbunge wa Bunge la JMT, Ukweli 6 alimruhusu kuleta mipasho yake na mawazo hewa kama vile na yy ni mtunga sera au mtekelezaji. Ndo mana alikosa uongoz UVCCM, na kweli ni ufadhili mana si hata ile Mark 2 kapewa na 6 na kupangiwa nyumba????

Back
Top Bottom