Recent content by Msangi2024

  1. Msangi2024

    Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Umenikumbisha mbali mbeya day mwaka 2009 ndo nilihitimu hapo.......
  2. Msangi2024

    Uchebe kasaini kufundisha Singida black stars

    Huyu jamaa ni fundi sema ndio hivoo
  3. Msangi2024

    Nina mpango kwenda kutafuta maisha Marekani ila sijui naanzia wapi

    Shida ya marekani ni connection ukienda utafikia kwa nani ili upambane upate kazi kule chumba cha bei ya chini kwa mwezi ni M1. 5 kama una mtu anaweza kukupokea kule fresh na ili enjoy maisha ya kule ukifika nenda kasomee nursing kwa level ya kawaida tu utapata uraia kwa urahisi
  4. Msangi2024

    Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

    Yupo jamaa angu ni mkweli ila dini hana ana hofu na mungu tuu
  5. Msangi2024

    Roma Mkatoliki amemaanisha nini kwenye huu mstari

    Huyu mwamba ni hatari
  6. Msangi2024

    Walimu wa Tanzania na passive resistance

    Sahiz tuko busy na mishe zetu maana hatuthaminiwi kabisa
  7. Msangi2024

    KWELI Kubana pumzi wakati wa tendo la kujamiiana kunamfanya mwanaume achelewe kufika mshindo

    Wew tafuta pesa ufundi peleka veta nibane pumzi ili nice mapema etiiiiiii
  8. Msangi2024

    Tetesi: Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi

    Hizo ni story tu hakuna uhalisia hapo
  9. Msangi2024

    Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

    Mim ninachoamini kinachokufanya umfuate mwanamke ni sura kwanza hayo mengine ya tabia zake ni baadaye ndo maana mwanaume anatamani kwanza ndo aanze kutongoza hizo tabia ni kwa wale wazee wetu wa zamani unatafutiwa mke na wazazi kwa kukueleza kuwa kwa mzee fulani wana tabia nzuri karne hizi...
  10. Msangi2024

    Polisi anayeenda kumkamata mwananchi anatakiwa kuwaje? Mwananchi anatakiwa kufanya nini ikiwa amegundua mtu huyo siyo polisi?

    Wananchi anatakiwa kujulishwa nin kimejiri na anatakiwa kituo gani cha police ili awajulishe ndugu zake
  11. Msangi2024

    Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

    Wazee wanatuharibia sana pesa mingi kazi kidogo hakuna kukesha
  12. Msangi2024

    Nilivyofanikiwa kubadili majina yangu yaliyokosewa NIDA

    Deadpool sasa hivi ni elf 33,000 kwa msajili wa mahakama / huku mwanza mahakama za ardhi kama unaenda kamanga karibu na nyamagana stadium🏟 lakini kuandaliwa deed poll inaandaliwa na mwanasheria yeyote mwenye mhuri malipo ni makubaliano yenu kuanzia elfu 10000.
  13. Msangi2024

    Tetesi: Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi

    Hauwezi kuwa mwisho wa CHADEMA sema kuna kipindi lazima kupitia magumu mwisho wa siku wabaya watajitenga mwenyewe
Back
Top Bottom