Hapana, huyu ni mtoto wangu sababu anatumia ubini wangu, baba wa mtoto kimoyoni anajua ni mtoto wake pamoja na jamii ya mke wangu. Mtoto alizaliwa tayari tupo kwenye ndoa
Mkuu inaitaji moyo na kutuliza akili sana hasa pale unapokumbuka jinsi ulivyo iudumia mimba kwa kujito na huruma kubwa kwa...
Mimi na mke wangu ni maji ya kunde, mtoto alizaliwa mweupe sana.
Mimi binafsi nilisamehe kitambo ila nikasema ipo siku Mungu ataweka ukweli hadharani,
Siku hiyo ikifika ndipo nitamuuliza mke wangu,
Nashukuru pia familia yangu ya karibu hawana mambo ya ajabu laiti wangekuwa watu wa ajabu...
Nilimuoa akiwa mjamzito, siku ya yeye kupata ujauzito tulipanga kalenda tukafanya,
Mtoto pia alizaliwa around siku ambazo alipaswa kuzaliwa,
Maswali niliyojiuliza, je alifanya na mimi then akafanya na mzazi wa mtoto around danger period au tayari alikuwa ameshapata mimba?Je alifanya kusudi...
By the way nilimpenda sana toka akiwa mchanga,
Mpaka mama yake analitambua hilo,
Kwa uvumilivu wangu, tumepiga hatua sana za kimaendeleo na mke wangu,
Naamini ningeanzisha sekeseke leo tusingekuwa hapa
Ni mtoto ambaye alizaliwa kwenye ndoa. Nilihisi mapema toka siku ambayo amezaliwa, ila sikufanya chochote. Mtoto alizaliwa wa kike na ndio uzao wetu wa kwanza. Ukweli mtoto hakufanana na mimi kabisa wala mama yake. Nimemgundua baba wa mtoto wangu mwaka huu, kwa kweli wamefanana copy and...
Kuna uwezekano mkubwa kibano cha Lowassa kinampelekesha puta kuliko maelezo.
Kikwete amechanganyikiwa, naamini hivyo
Angekuwa yupo kwenye normal mood asing'e zindua magari mapya ya Police
End of the week uchaguzi.
Jumuia zote za kitaifa na kimataifa macho yote yapo hapa
Mbaya zaidi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.