Serikali itueleze sasa alipo Mkuu wa Majeshi, tuna haki kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya katiba ya nchi

We BEN SAANANE UTAMTAFTAJE MKUU WA MAJESHI AMBAYE HAKUHUSU UKASHINDWA KUMTAFTA MTOTO JUMA SAANAE, OMBAOMBA ULOMZAA KWA AMINA YULE KILEMA WA UBUNGO? MTAFTE KWANZA JUMA
 
Bora tu wamtoe kijana wa watu huko rumande maana kuwepo kwa mkuu ndo ushahid tosha na mpk leo hakieleweki...
 
AZAM two wamekatisha.....camera man alikuwa anaonyesha wanajeshi wote waliohuzuria......sijamuona huyo top manyota wetu.
 
Naomba uliokua mnashededekea habari ya mwamnyange yamewashuka sasa acheni uzushi usio kua na maana.
 
Mkuu Japkas inakuwaje Mkuu wa Majeshi anaongelea upatikanaji wa maji katika kambi ya Ngerengere wakati shughuli iliyopo ni uzinduzi wa kiwanja cha ndege? :thinking:

VP umefuatilia taarifa ya habari kwenye chombo unachokiamini ITV na kupata uhakika?
 
Last edited by a moderator:
VP umefuatilia taarifa ya habari kwenye chombo unachokiamini ITV na kupata uhakika?
Kuwa muungwana jibu swali. Mbona CDF anaongelea maji et al na sio uwanja. Tukisema na file video imeunganishwa na live utakataa?
 
Kuwa muungwana jibu swali. Mbona CDF anaongelea maji et al na sio uwanja. Tukisema na file video imeunganishwa na live utakataa?

Sasa Nyie Wenzetu Hata Akiita Press Conference Bado Mtasema Ni File Video Tu,mara Maana Akilizeni Zimekremishwa Na Kutema Haiwezi..
 
Kuwa muungwana jibu swali. Mbona CDF anaongelea maji et al na sio uwanja. Tukisema na file video imeunganishwa na live utakataa?

Duuuu, hii habari imerushwa tena kwenye taarifa ya habari ya SAA mbili ITV, inamaana hata ITV wameedit? Hamuwaamini tena?

Kuzungumzia issue ya maji ni kosa? Pamoja na kutokuwa na uwanja bora wa ndege ndani ya kambi ya jeshi la anga ngelengele changamoto nyingine kwa eneo hilo ni miundo mbinu duni ya maji ambalo Mwamnyange amedai ndilo linafuata kulitatua baada ya issue ya uwanja wa ndege kukaa sawa.

Ila si jukumu langu kukufanya uamini nafikiri ndio maana unaniona sio muungwana
 
Back
Top Bottom