Recent content by Msamiati

  1. Msamiati

    Hakuna cha Diamond wala Ali K, Shikamoo LINEX

    Sija-compare ila nimejaribu kuonesha mshangao. mashabiki wote kuwashupalia hao jamaa hapa jukwaani kila kukicha wakati binafsi sioni maajabu yoyote wanayoyafanya. wanamuacha mtu kama LINEX kaimba KIMUGINA Kilugha lakini nyimbo imeeleweka. Na Ngalikihinja Nadhani umenielewa.
  2. Msamiati

    Hakuna cha Diamond wala Ali K, Shikamoo LINEX

    Habari zenu Waungwana, Nimeona Bora niseme chochote kumpongeza Linex. Amini usiamini tunapozungumzia International standard kwenye music LINEX ni next level. Huyu jamaa angekuwa na kihelehele cha wakina Diamond kuwashobokea wakina Kusaga sijui wakina luge... Basi leo tungekuwa tunazungumza...
  3. Msamiati

    Web Development Special Class

    Kipambizo cha mtindo kwenye element ya picha Leo tutajifunza vitu viwili tu vya ziada na vya muhimu kufahamu kuhusiana na element ya picha. Kwanza ni jinsi tunavyoweza kutumia kipambizo cha mitindo kwenye element ya picha ili kuipa picha ukubwa unaotaka. Kipengele hiki kitakuwa rahisi...
  4. Msamiati

    Kwanini Rais wa JMT hafanyiwi 'Interview' kwenye Media?

    Wameshachafua hali ya hewa, anaogopa kuface jazba za raia
  5. Msamiati

    Kutoka kwa AY

    Kaka jamaa kanenepa mpaka pochi si unaona ndinga hii ya kuburuzikia mitaani
  6. Msamiati

    Chuo gani kinafundisha Animation Hapa Tanzania?

    Magembe R. Malima, Chuo chako ni Bora sana Mkuu.
  7. Msamiati

    Tatizo la pin kwenye tecno H6, naomba msaada

    Kama tatizo lako ni hili.... Jiandae kisaikolojia. Ukishindwa kabisa nitafute na tsh 30 elfu. La sivyo utaiacha kwa mafundi...
  8. Msamiati

    Web Development Special Class

    Baada ya kujifunza jinsi tunavyoweza ku-gawa kurasa yetu, sasa bado hatua chache tu, ili tuweze kumaliza kabisa kipengele hiki. Tunafahamu kuwa, website yetu imekusanya mafaili mbali mbali ya taarifa. Mafaili yote ndani ya website yetu yanatakiwa kuonekana kwa mtumiaji kupitia file moja...
  9. Msamiati

    Natafuta mediatek USB Vcom drivers

    Slave Jaribu ku-connect simu itakubali, mimi mwenyewe nilipo-install ilionesha hivyo kwamba kuna part ya driver haijawa installed lakni ikadetect hivyo hivyo. Mimi nili Install kwa kutumia guadline hii kutoka forum ya Hovatek:
  10. Msamiati

    Cursor inagoma kufanya kazi kwenye laptop naomba msaada

    Shefwaa Ulibonyeza shotcut ya ku-disable touch pad bila kujijua, kwenye laptop nyingi unatakiwa kubonyeza Function button (fn)+Padlock key ambayo kwangu mimi ni F3, na dell nyingi zipo hivi. Kuifahamu padlock key kwenye laptop yako angalia kwenye button enye F1-f12 button yenye ki-nembo cha...
  11. Msamiati

    Naomba msaada wa kubadili Favicon kwenye Blog yangu

    Mwisho usisahau ku-clear catch ya browser unayotumia, Favicon inaweza kuwa imebadilika kwenye server lakini browser bado ika-display favicon ya zamani.
  12. Msamiati

    Tatizo la Speed ya internet kwenye simu naomba msaada

    Emmanuel chaulaya Pia jaribu kusema brand na model ya simu ili upate ushauri mzuri zaidi
  13. Msamiati

    Natafuta programme nzuri ya kudesign flyer na logo ambayo ni free

    Jongoo Mpendawa2 Unaonekana mgeni kwenye haya mambo, nakushauri uanze na Office package, kwa hizo shughuri anza na Publisher, itakurahisishia kwa kuwa utaanza na templates then utakuwa unacostumize taratibu taratibu baadae utapata experience na idea zaidi where to go. Ukitumia software...
  14. Msamiati

    Je! Kuna chama cha Ma-IT Tanzania?

    Hii nchi inatia Hasira, yaani sekta nzima ya makompyuta inaonekana kama ukatuni katuni fulani usio kuwa na umuhimu wowote. Yaani serikali inajitoa ufahamu kuwa ICT ndio key ya karne ya sayansi na teknolojia, Hapa kwentu Muziki unathaminiwa zaidi kuliko Sayansi ya kompyuta inasikitisha sana...
  15. Msamiati

    Natafuta mediatek USB Vcom drivers

    Hizo hapo mkuu, kwangu zimefanya kazi vizuri tu, nimetoka kuzitumia jana. Nimekuwekea file kwenye attachment
Back
Top Bottom