Recent content by msambitz

  1. msambitz

    JamiiForums Tanzania Viwango vya video show

    Huu kweli ni mtihani maana sijapata jibu kutwa nzima..,ok sawa ila ntahakikisha mpka nipate jibu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. msambitz

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Asnte sana kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  3. msambitz

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Ok kwa hiyo kwa mimi mwenye mtaji mdgo ni bora nikapoint? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. msambitz

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Ahaa ok sawaa. Mimi nilikuwa nina hamu sana ya kuuza nguo za mtumba za watoto miaka kuanzia mmoja mpka 7, ila sasa nmejaribu kuulizia watu ambao wanafanya biashara hiyo wanasema ukienda wanapofungua mizigo mipya huwa wanauza kuna nguo znabakia. Sasa zile zilizobakia huwa wanaziweka stoo, sasa...
  5. msambitz

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Mfano mimi nikitaka zile nguo ambazo ntauza 500 kitaan au mnadan znapatkanaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. msambitz

    JamiiForums Tanzania Viwango vya video show

    Karibu sana, Sent using Jamii Forums mobile app
  7. msambitz

    JamiiForums Tanzania Viwango vya video show

    Habarini wana Jamii Forum,samahanini kama ntakuwa nmetumia lugha gongano hapo kwenye kichwa cha huu uzi..,ila naomba nijuzwe maana ya vifupisho vya Video Show.. Yaan Utakuta Kuna Kipindi kinarushwa kwenye Tv kina kiwango cha GE au G n.k,huwa wanamaanisha nn? Maana mpka hapa nilipo sijui juu ya...
  8. msambitz

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye shahada ya Uzamili anayefanya biashara ya Makande jijini Mwanza awe chachu kwa Wasomi nchini

    Yule dada n zaidi ya jembe,kawaamsha wengi sana kifikra..,ila kina sisi utakuta tuna diploma uchwala bas shida tupu yani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. msambitz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Deni la Kenya

    Inabidi tuwachangie majiran zetu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. msambitz

    JamiiForums Tanzania Kwanini hii ndoto inanirudia sana?

    Kucheka kawaida s unajua kuna vitu vya maajabu vingne vnachekesha ndo maana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. msambitz

    JamiiForums Tanzania Yanga kuporomoka na kufa baada ya miaka 10

    Gubu hiloooo [emoji41][emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. msambitz

    JamiiForums Tanzania Kwanini hii ndoto inanirudia sana?

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom