Deni la Kenya

Profesa ntare nkobe

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
6,957
8,073
Serikali ya Kenya yakiri deni la Taifa ksh tilioni tano ni zito na ni ngumu kulilipa..Source kupitia Gazeti la taifa leo..
 
Kama Kenya inadaiwa trilioni hizo na makusanyo ya kodi ni Mara mbili yetu na deni letu ni nusu ya deni LA Kenya , naona hatuchekani tuko jahazi moja. Kenya watakuwa hatua moja mbele na sisi tunafuatia shimoni humo walimotumbukia . Hapa ni mashindano ya mbikimo wawili mmoja akidai kuwa ni mrefu kulikowenie wakati ukweli halisi wrote ni wafupi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Kenya yakiri deni la Taifa ksh tilioni tano ni zito na ni ngumu kulilipa..Source kupitia Gazeti la taifa leo..
Kenya ni kama 100 Trillion Tsh na Tanzania ni 61 Trillion Tshs lakini uchumi wa Kenya upo juu kidogo yawezakuwa tupo katika hali zinazofanana wachumi wanaweza saidia hapa.
 
Kama Kenya inadaiwa trilioni hizo na makusanyo ya kodi ni Mara mbili yetu na deni letu ni nusu ya deni LA Kenya , naona hatuchekani tuko jahazi moja. Kenya watakuwa hatua moja mbele na sisi tunafuatia shimoni humo walimotumbukia . Hapa ni mashindano ya mbikimo wawili mmoja akidai kuwa ni mrefu kulikowenie wakati ukweli halisi wrote ni wafupi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Kenya wanaendelea kukopa Mara tano zaidi ya Tanzania, pesa wanayokusanya yote inaishia kulipia mishahara ya watumishi wa umma, na kiasi kikubwa kinachobaki kinaishia katika mifuko ya wajanja, hawana kinachobaki kwa ajili ya kulipa deni, Tanzania ni kinyume chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie mmesamehewa Deni lakini bado mnazama kwenye Lindi la umasikini....
 
Na nyie mmesamehewa Deni lakini bado mnazama kwenye Lindi la umasikini....

Kama kuzama kwenye lindi la umasikini ni kiwa kama tz,basi wacha tupotelee huko.

Kama kutoka kwenye umasikini ni kuwa kama Kenya.aisee basi hakuna maana.
 
Kama kuzama kwenye lindi la umasikini ni kiwa kama tz,basi wacha tupotelee huko.

Kama kutoka kwenye umasikini ni kuwa kama Kenya.aisee basi hakuna maana.

Kama Danganyika ni Kama kucheka kwenye Baisikeli Afadhali tukasirike tu kwenye Mercedes Benz....Tuache tu sisi........I would rather be a dog for a day than be a Danganyikan
 
Mambo ni moto huku
Screenshot_2018-02-01-13-41-27-1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini wa RAIA walio wengi inatisha Kenya kuwa na Uchumi mkubwa alafu wanatumia wachache ndio wanao faidika ni hatari sana

Haitawafikia Danganyika Ambapo watoto wanakula Mefi just ya Njaa wengine wanawinda Albino just ya Ushetani na haswa haswa kuwauwa watoto wachanga just ya Nini sasa.???sijawaelewa hapo
 
Back
Top Bottom