Recent content by Msamala

  1. Msamala

    JamiiForums Tanzania Baada ya Hotuba ya Rais Samia kuwakoromea Wazungu, Waafrika waunga mkono, wasema Afrika imeanza kuamka, wampongeza Rais

    Ujinga tu umeungaunga habari na washkaji zangu kibao wa Lumumba wakakusapoti
  2. Msamala

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya kimataifa vyatahadharisha kuwa Tanzania yaweza kurudi kwenye uvunjifu wa haki na uhuru wa kujieleza

    Jamani Chura kiziwi hana Cha kupoteza yeye tayari ni mzee wakati wowote anaaga ameshatengenezea wanawe n ndg zake utajiri mkubwa Sana
  3. Msamala

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

    Hana Cha kupoteza UMRI wake mkubwa na amesha watengenezea watoto wake pesa za kula kwa maisha yao yote
  4. Msamala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aidhinisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote, sasa ni Sheria rasmi

    K Kwa andiko hili unaamini kuwa utapewa bure siyo
  5. Msamala

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Nitreaply asubh 10:00h
  6. Msamala

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

    Mimi ni Wamrengo wa kushoto kiasili. Huyu chongolo ni mtu mwema Sana ni mtu haswa na naamini hapendi makandokando
  7. Msamala

    JamiiForums Tanzania Tuache utani TTCL hawako serious kwenye biashara ya internet

    Hata mtandao wake Usiku Ni tatizo simu hazitoki
  8. Msamala

    JamiiForums Tanzania Hivi treni ya kuelekea Moshi bado ipo? Mwisho wa mwaka tunaanza kupanga safari

    Imekufa kitambo Sana treni ya mchongo
  9. Msamala

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi, ateuliwa na ZEC kugombea Urais wa Zanzibar

    Hawezi kushinda dalili si nzuri kwa kweli.
  10. Msamala

    JamiiForums Tanzania Lissu haelewi maana ya ‘Jeshi la Akiba’?

    Hapana Wala hajajichanganya anajuwa kuwa Sheria ilianzisha Jeshi la mgambo na mgambo pamoja na wastahafu wa majeshi mengine wakaitwa Jeshi la Akiba lkn wote walipohitajika kutekeleza majukumu yao hawakuwajeneralized, walicategorised kulingana na majeshi yao. Mf wa mstahafu wa jwtz, polisi...
  11. Msamala

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashuhudia makabidhiano ya Dhahabu Kg 35 iliyokamatwa nchini Kenya

    Sas Sasa lazima tutafute publicity swala ni kutengeneza story Kwa lazima.
  12. Msamala

    JamiiForums Tanzania Membe ni mbaguzi. Mla nyama za watu. Hafai katika uongozi wa nchi

    "Aisee peleka huu mzigo halafu baadaye unirudishie ili tutengeneze story au unasemaje mwenzangu"?
  13. Msamala

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa CCM imepasuka, inasubiri ipasuke zaidi tu

    Bro Bro haikuwahi kufikia hapa ilipo
  14. Msamala

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa CCM imepasuka, inasubiri ipasuke zaidi tu

    Ni suala la muda tu
Back
Top Bottom