Recent content by msakamsakapesa

  1. M

    Harambeee changiaa dawati chini ya hassan maajar trust awamu ya tatu yafikia sh milioni mia nanee n

    Tuwapongeze wote walioudhuria harambee hiyo nakufanikisha kuchangia kiwango iko, ili waweze kuiokoa elimu ya Tanzania kwa kuhakikisha shule zote za msingi Tanzania, zinapata madawati yakukidhi haja na tija. hongereni sana.
  2. M

    Elizabeth Lulu kwanini asiwekwe ndani kama mwanariadha Oscar?

    Oscar kusekwa jela miaka mitano, na miaka mitatu ya kifungo cha nje, Je kwanini Lulu wa bongo movies , wasiwekwe jela miaka mia nane?? koz tunapoelekea anaenda kumpiga tena JB wa bongo movies kwenye Tendegu la sofa, alafuuu yatakujaaaa yaleyalee ya brother Kanumba tunaanza kujutaaa uku mtu...
  3. M

    Biashara ya kusafirisha matunda Ulaya

    Anzisha uonee kama hutowekewa vikwazo kama Arabic states juu ya marikaniii cyooo tz wewee, natoka Tanzania aka tz bongo aka nchii iliyojaa viongozii wenye cv za uongo aka aslimia sabini wananchi ni maskini aka kaa chini fanya tathmini aka nambie unachokionaa niini????
  4. M

    Gazeti la Mwanaspoti latumika kuinadi Yanga

    Kweli kabisaa wala hata cna mda wakulinunua sikuizii wanafiki kabisaa watauzaaa jangwaniiii tuuuu
  5. M

    Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

    Ukitaka kujua failures angalia posts zaooo niza majunguuu tuuuu watanzania hatupendani hata kidogooo sasaa we huamini kama jamaa anaenda kusomea masters, bhasi nanenda kusomea hotel management .....😁😁😁😁😁😁😁😁😁👋✌
Back
Top Bottom