Kaka geuza pande zote mbiliView attachment 194398
Katika kitu ambacho kimeniboa leo ni jinsi gazeti la mwanasport lilivyochapisha habari ya mbele kuifagilia yanga bila kuweka usawa wa picha zote mbili yani simba na yanga, shame on u mwanasport

ligi ya sasa timu pinzani ni yanga na azam..yanga na simba ni watani wa jadi
mleta mada yuko sahihi habari iliyo front page huwa inachukuliwa kuwa ndio ya muhimu kuliko back page thats why kwenye serious magazine hot issues zinakuwa front page na mengine yanafuata so kuwaweka yanga mbele sio sahihi wangefanya grafics wakawabananisha wote hapokuwa makini. upande wa nyuma wameweka simba. kwa kifupi headline yake leo ni "NO RETREAT, NO SURRENDER"
![]()