Recent content by Msaka tonge

  1. M

    JamiiForums Tanzania Foleni ya Mabatini Mwanza ni uzembe tu!

    au u j i n g a ritz
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    Mawazili wote wafutwe wasubili katiba
  3. M

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM afariki (Morogoro)

    Wewe mwana ccm ndo janga
  4. M

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM afariki (Morogoro)

    Eti jamani kuna tetesi kuwa kikwetwe ataendelea hadi 2017.tutatufa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM afariki (Morogoro)

    2ko pamoja
  6. M

    JamiiForums Tanzania Martin Shigela Wa UVCCM na John Heche wa BAVICHA ndani ya DW Radio SASA Hivi

    Wanachadema wote nimeamini kuwa tupo makini sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Martin Shigela Wa UVCCM na John Heche wa BAVICHA ndani ya DW Radio SASA Hivi

    heche nimeupenda msimamo wake kwamba uanzishaji wa kikundi cha kujilinda yaani red briged kuwa upo palepale.huyo mbulula wa ccm huyo namuombea njaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    jamaa yangu utakesha,nani aje kwa wandengeleko sijui wamatengo,wandendeule wasipenda kusoma hao,kaka utakesha,mimi mwenyewe nipo shinyanga nataka kuja angalau njobe lakini du
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta aisiriba serikali ya Tanzania

    kenya wana bajet ya mil 28 na hawategemei kokote so yupo corect
  10. M

    JamiiForums Tanzania walimu.... walimu...

    Nye valimu ikasi mwinayo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye yametimia walimu kucheka huu ndiyo waraka mpya.

    Anachokiongea ni cha kweli ndgu zangu lakini ni huko ujerumani sio tanzaccm.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada toka kwa rais wangu mh. dr. Jakaya Mrisho Kikwete

    Njoo ikulu,utamkuta ridhiwani mwambie akupeleke bagamoyo ukasaidie kukamua maziwa ya ng'ombe na kumsaidia bibi yake kuwasha taa za nje,,ntakulipa laki tano kwa mwezi,umesema unakadigrii kamoja? Kama ndo ivo ntakuongezea kengine,ila uache ungese.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

    Taitizo kubwa huwa hufuatilii bunge,unajua kuwa wabunge hupeleka maswali kwanza ndipo mda ukifika wapewe nafasi ya kuulza,wapinzani mwaswali yao lazima yajadiliwe kwanza na magamba ccm na ndipo nafasi zitolewe,,kama unaakili malzia kufikili..sugu ametoa michango mingi sana na sio sawa na wabunge...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

    Katika wajinga kumbe nawe umo,unauliza matokeo ya 4m4 bada ya kuulza utendaji kazi,,
Back
Top Bottom