Recent content by msafiri majafu

  1. M

    Msaada OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA

    Mi pia ni mhanga wa hili swala la kujisomea nyumbani alafu tukutane siku ya paper but inawezekana kwa baadhi ya course hasa social science lakin kwa IT sijui, inabidi u strugle sana unless utakuwa umapoteza muda
  2. M

    Kuangalia video za ngono kuna athari kwenye nguvu za kiume?

    Movie za ngono zina madhara kwa mtazamaji kisaikolojia tendo la ngono linakua kitu cha kawaida tu kwa mtazamaji hapati ule msisimko unaotakiwa afu mbaya zaidi wanawake tunaowaona kwenye hizi picha ni wazur huenda kuzid hata hawa wapenzi wetu wa kibongo hiyo pia huchangia kupoteza mvuto na mpenzi...
  3. M

    Hatimae uhamiaji yametimia

    Mwenye gazeti naomba aniangalizie jina la PASTORY HEMBO Costebo
  4. M

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Doctor naomba msaada nimekua na tatizo hili kwa muda mrefu richa ya kutumia tube aina ya CYCLOB G nitumiapo dawa hiyo tatizo huonekana kupona lakini hujirudia tena. Nisipotumia tube hiyo kwa muda mrefu huwa napata maumivu makali sana na ngozi hutoa majimaji. Je kuna dawa ambayo nikiitumia...
  5. M

    Biashara ya ukahaba

    Ni nyakati za mwisho wala msishangae haya yote kutokea
  6. M

    Kipa amefariki baada ya kupigwa teke la kichwani

    Ameua bila kukusudia adhabu iko palepale
Back
Top Bottom