Recent content by msabato masalia

  1. M

    Swali: wabunge Wa Jecha...?

    Hivi kipindi Magufuli anafungua bunge, wabunge wa Jecha walikuwapo? Kama walikuwapo ina maana walilamba mshiko Wa kile kikao? Baada ya "maamuzi" ya Jecha ina maana tunaweza wadai chenji yetu kwasababu hawakuwa halali? Me am confused!!!!
  2. M

    Ikulu yakanusha Mshahara wa Rais Kikwete kufika dola 192,000

    IKULU YAKANUSHA MSHAHARA WA MILIONI MIA TATU WA RAIS WA TANZANIA ULIOTOLEWA NA GAZETI LA KILA SIKU. ~ Blogu ya Wananchi Ikulu yacharukia uzushi wa gazetiHabari Leo. SERIKALI imekanusha taarifa ya gazeti la Mwananchi, inayosema kuwa Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa marais watano wa Afrika...
  3. M

    MKutano Mkuu wa Alliance for Democratic Change (ADC) Mohamed Rashid Hamad Ajiunga rasmi!

    Kuna bendi za muziki uwa zinaanzishwa wakati karibia krismasi then baada ya mwaka mpya zinakufa. Kwa ufupi zinaitwa bendi za msimu au matamasha=ADC, ACT et al.
  4. M

    Diamond Platnumz: Sasa kila anachogusa kinageuka almasi

    Simba wanashinda mechi za mtani jembe, infakti ni sawa na King kulamba tuzo za Kili.
  5. M

    Gari la Zima moto aliloomba Dr Aman nchini Denmark, lakabidhiwa Bukoba, yeye kazuiwa kuhudhuria

    It is a shame for em politicians, kagasheki et al. I think it is a joke. Those guys/politicians shouldn't be celebrating for something like that after all the money they have stolen. I think it is a shame.It is a bad mindset, to be happy about those kinda of things which make them dependants on...
  6. M

    Kagasheki: Nitagombea tena 2015, hakuna wa kunitoa Bukoba mjini!

    http://www.hulkshare.com/bukobawada/balozi-kagasheki-bukoba-jan-23-2014 & http://www.hulkshare.com/bukobawada/kagasheki-juu-ya-bukoba-jan-23-2014
  7. M

    Karibuni tutapata albam.

    Sijui ni singo gani inafuata, maana bendi yetu CCM,hawachuji, hizi ni baadhi ya singo za hivi karibuni,kadi 2 za Dr Slaa,mwangosi(RIP), nani achinje,gesi ya ntwara,matokeo ya form 4,kibanda(pole sana), gaidi Lwakatare. Sijui ijayo ni ipi?
  8. M

    Dk Aman kuvuliwa Umeya Bukoba anguko la Waziri Kagasheki

    Omutwale. Umenena. Najiandaa kurudi nyumbani kuanza harakati za kumng'oa.
  9. M

    Natangaza nia ubunge, Bukoba mjini 2015

    :target: Piga ua chinja galagaza. Lazima kieleweke. 2015 namuonyesha mlango wa kutokea Kagasheki na wakora wenzie. STIDE.....Kama kawaida,"omwatani takweta mushaija".
  10. M

    Natangaza nia ubunge, Bukoba mjini 2015

    STIDE.....sio swala la mbwembwe kama unavyodhani.Hahahaha, yaleyaleee,Umeanza kwa kuponda "kamombo" kuwa sio kwalifikasheni ya "public post". Watu tunachokikosa Bukoba au Tanzania kwa ujumla ni kuwasiliana na wananchi na kuwa "accountable", lakini wewe na mimi tunajua kwamba siasa za visasi...
  11. M

    Natangaza nia ubunge, Bukoba mjini 2015

    So far so good sina political party kwasababu ya kuogopa mizengwe na kuwekwa mfukoni.I was born and raised there,went to school there.Originally from Buyekera.I have seen all of them come since I was a kid from Rwangisa,Katalaiya,Rwakatale and now Kagasheki. They all have the same fate except...
  12. M

    Natangaza nia ubunge, Bukoba mjini 2015

    Baada ya kutafakari na kuona siasa (za maji taka-kama CCM wanavyoziita) ambazo si za kuleta maendeleo bali habari za mipasho na "kumtafuta mchawi" kati ya Kagasheki MP na Mayor Amani. Na kwakuwa siasa zao zime-base kwenye kuwania kiti cha U-MP na wala hakuna lolote la maana zaidi ya kutaka...
  13. M

    Meya wa Bukoba si raia wa Tanzania

    Kagasheki amgwaya Dk. Slaa • Akataa miradi ya meya akidai inanyanyasa wananchi na Mwandishi wetu WAZIRI wa Maliasili na Utalii, ambaye pia na Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki (CCM), ameapa kuwa hayuko tayari kusutwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod...
  14. M

    Diana Chilolo aseme ukweli kuhusu elimu yake

    Ukifuatilia sana siasa za bongo unaweza kuwa chizi, namuhurumia sana Dr.Slaa. By the time hé becomes a President atakuwa ashapata brain atrophy atakayofuatiwa na senile dementia.
Back
Top Bottom