Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,055
- 781
Jioni leo mbunge wa Bukoba mjini amefanya mkutano mkubwa katika uwanja wa uhuru mjini hapa.pamoja na mambo mengi aliyosema ni pamoja na kudai kuwa hapo awali hakujua kama atagombea tena jimbo la bukoba mjini lakini kutokana na kelele nyingi na tambo za baadhi ya watu anatamka rasmi kwamba atagombea tena na kwamba ili aje aone kama kuna mtu wa kupambana naye.
ameeleza kwa kina issue ya mgogoro wa madiwani uliosabisha meya kujiuzulu ingawa taarifa za jana ni kwambna meya amedai hajajiuzulu kisheria.
Kagasheki ameeleza mengi ikiwemo juu ya sababu za yeye kujiuzulu uwaziri wa maliasili na utalii na hapo kesho nitaingiza video na picha za tukio la leo na kufafanua kwa kina alichosema.
lala unono.