Recent content by Ms mashaba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    Haya mawazo ni ya kijinga sana. Haiwezekani uwe na uhitaji wa iphone 5 kisha uwe na offer ya nokia ya tochi. Migomo inafanya na walimu wetu kutokana mifumo dhaifu iliyopo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Coordinator wa SCOAN Tanzania

    Nafikiri njia bora zaidi ilikuwa ni kumwambia muhusika na sio kuja kulalamika humu jamvini. Pia mie nashindwa kuelewa kama ni kweli dada huyu anaweza fanya kama mnavyomlalamikiwa kwa sababu wisemen wangeshamwondoa kwenye hiyo nafasi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wassira; udini hapa nchini uliasisiwa katika uchaguzi mkuu 2010

    Hawa usalama wa taifa wanafanya kazi nzuri ila wakati mwingine wanatumika vibaya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Arusha kuchafu sana

    mmm!!! laigwanani safisha nyumba yetu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuteswa kwa Kibanda kumeacha alama nyingi za ikulu

    Tanzania jina zuri mie nakupenda sana. Mungu atuepushie haya mabalaa na mikosi inayotuandama.........
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya CHADEMA ya March 16, 2013

    mie nashindwa kuelewa kuhusiana na maandamano. kwani ni lazima polisi watoe ruhusa kwa maandamano ya amani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kujiunga na wapigania ukombozi wa CHADEMA baada ya kutafakari kwa kina!

    nafikiri ulimaanisha pipooooz ....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayonifanya niipende CCM (vitu walivyotekeleza)

    Acha makelele ya chura. kwenye red ndo umeshemsha kuliko maelezo. technologia na vyuo kaleta KIkwete!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, hata kondoo analipinga kwa nguvu. ardhi ya rutuba safi ipo Tanzania hivyo huwezi linganisha na majirani zetu kama Kenya. -uchumi wa Tanzania unazidi kudorora kila...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Binti yatima wa miaka 14 Aanza kusoma Chuo Kikuu na Miaka 14 Baada ya kujisomea nyumbani

    wow! inapedeza sana. nafikiri hapo kwenye rangi ungeweka ZRA ya Zimbabwe
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada - sceen display ya laptop inatetema

    Jameni wandugu naombeni msaada, screen display ya hii laptop haijatulia kabisa. Maandishi yanatetemeka mpaka wakati mwingine screen inakuwa nyeupe kabisa. Je tatizo laweza kuwa nini?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mwigulu Nchemba alikodisha wahuni waliofanya vurugu zilizosababisha mauaji Ndago - Singida

    acha unafiki weka tuone mapema.... au wewe ni wale wale wanaongea bila ushahidi, kazi kuropoka.....
  12. M

    JamiiForums Tanzania TRA Posts........

    mfa na maji haachi kutapatapa. kama ndo unavyofikiri umekwisha kijana, utawasikilizia wenzako kwa mbali. badilika..
  13. M

    JamiiForums Tanzania TRA Posts........

    what if akiwa ni mpare,,,,,,,, u will die without make it. Pole sana. my advice is never let any opportunity get away without use it. mie nafahamu watu kibao wenye qualification wanapiga mzigo bila matatizo.
Back
Top Bottom