Anaye jua naomba anisaidie, muungano no maridhiano baina ya pande 2 kama pande moja haitaki kwa nini ilazimishwe au kuna siri gani behind? kwani Tanganyika haiwezi ishila Zanzibar? mbona Sudani wametengana maisha yanaendela hiyo sababu ndo nataka kujua!
Mtoa Uzi upimwe akili by this fact:- amka asubuhi tizama juu bila shaka utaona mbingu ilolembwa kwa ranging zaid ya moja nanyota zake ziking'aa je kunasiku uliona mtu akizipaka rangi? ila majengo yetu huitaji rangi ,kunanguzo yoyote iloshikilia? hakuna ametandika ardhi ambayo hutoa vyakula...
Nikupoteza muda tu tushuhurikie viongozi wetu walio kamatwa kukamatwa Ridhiwani kutatusaidia nn wakati chama chetu kinakufa sibora akamatwe Lipumba anaye ungana na CCM kuua upinzani vipi Lubuva Jecha tuache ushamba tuangalie tutatoka vipi kwenye hali hii ngumu
Barabara ya Tandale imekua kero kubwa na aibu kwa wilaya kama hii (Kinondoni) kwani imechoka mashimo chungu nzima. Magari yanahama ruti shida kubwa kwenye usafiri, ukiona marekebisho inajazwa udongo.
RC uko wapi na kama kuna ajuae zaidi atujuze wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.