Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Katibu gani huyu?!
Ndiyo,nahoji.Katibu gani asiyeendana na kasi ya SIASA iliyopo sokoni kwa mda husika?Katibu gani huyu hata tu chembe ya robo ya mikakati yake tunaliyoaminishi ndiye mpishi mzuri kwalo?
Katibu gani huyu hata mwanasheria mkuu wa chama anamzidia kwa mbali sana ktk yote?!
Katibu gani huyu hata anazidiwa na tena kwa mbali ktk kutetea masilahi ya chama na vijana wa kawaida na wasio hata na kadi za chama waliopo huku mtani?!
Katibu gani huyu asiye chukua hata tu hatua japo ya kutoka ofisini na kuisemea na hata ikibidi kutolea tamko pinga kuhusu M/kiti wa chama kutuhumiwa kwa kosa....na yeye kuwa kimya na kuwaachia jukumu hilo viongozi wa ngazi ya chini yake kutolea tamko jambo hilo lililopaswa kusemewa na mtu mwenye nafasi km yake?!
Mtu huyo ni sahihi kweli ktk nafasi hiyo?
Mtu huyo kweli ni mpishi mzuri wa mikakati km tulivyoaminishwa?!
Mtu huyo anacho kipi cha kujivunia km fanikio lake alilopata tokea uwepo wake ktk nafasi hiyo?
Ktk yote,ninayo MASHAKA juu ya mtu huyu.Mtu huyu siyo sahihi kabisa kuwepo hapo alipo.Km tu hajiamini na hawezi kutoka na kuwa mbele ya kikosi cha mapambano na kukiongoza hasa wakati huu MAPAMBANO yamepamba MOTO-HAFAI!
NDIYO,hafai huyu!Tafadhari atafutiwe kazi nyingine kwa mfano;
awe tu mkuu wa idara ya TIBA ktk chama.Ukatibu mkuu ni zigo zito kwake,APUMZISHWE mara moja!
Musukuma huyo kashindwa jamani tafadhari tusipakane manukato juu ya ufundo.Hilo ni GARASA!