Barabara ya Tandale imekuwa kero

mrxho

Member
Jan 17, 2017
61
13
Barabara ya Tandale imekua kero kubwa na aibu kwa wilaya kama hii (Kinondoni) kwani imechoka mashimo chungu nzima. Magari yanahama ruti shida kubwa kwenye usafiri, ukiona marekebisho inajazwa udongo.

RC uko wapi na kama kuna ajuae zaidi atujuze wakuu.
 
Back
Top Bottom