Recent content by mrutu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waraka: Shule 11 za Serikali Hazitahusika na Utoaji wa Elimu Bure

    majanga haya schools nyingi walikuwa hawalipi chakula. ndo kusema serikali inalipa 20000 ya ada, 10000 ya taaluma na 10000 ya mlinzi tu basi. ni bora serikali ingegharamia chakula ikawaacha wazazi walipe hyo michango kwani ingekuwa imewasaidia saaana
  2. M

    JamiiForums Tanzania PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    Hatari kweli kweli User mwisho Kenya sasa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya washindi wa ligi kuu Tz bara 2013/2014

    Iko pooa No upendeleo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mganga wa jadi BUJINGWA JOHN akamatwa kwa mauaji ya mwanafunzi KAGERA.

    Duuuuuu, hyo kali najua wapo waliomtuma awatengenezee dawa kwa ajili ya 2015 ILA hata akiwataja kazi bure hitimisho uganga wa kienyeji marufuku TZ
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya kesi ya kubaka inayomkabiri Kapuya

    Naomba wadau mnisaidie kuhusu hii nchi yangu Tanzania, hivi ile taarifa iliyovuma ya Prof Juma Kapuya na yule binti au ndiyo tuseme mwenye pesa habuguziwi au kesi IPO mahakamani au ni vipi. Naombeni msaada, mimi pia na jamiii nzima nategemea jamiiforums mpo juu tofauti na magazeti yetu ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unajua kwa nini mtoto wako ni kilaza shule? Ongeza ufanisi wa ubongo wake na wa kwako pia

    Nataka source ya hii habari please admn npatie link
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Lukuvi: Jumuiya ya Waislaam yatoa tamko kali

    Udini ushaanza long time hata ukifuatilia kwenye huu mjadala kama Una akili timamu utauona udini, ILA lukuvi amechemka kabsaaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tops Africa like Mount Kilimanjaro

    Mmmh, pamoja na yote hayo bado maskini Wa kutupwa, viongozi waizi kinoma, sera mbovu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi yafutwa kwa tuhuma za ushoga Tanzania!

    Sisi kwa sisi ni NGO ya nani na kama ni kiongozi WA serikali tumfutie uraia akaishi kwa mashoga wenzake hukoo c hatumtaki, pi nyie watunga sheria wetu kueni kama Uganda
  10. M

    JamiiForums Tanzania TAMWA, TGNP, LRHC wamucharukia professor Juma Kapuya

    Hyo ni kesi ya ubakaji na sheria zpo wazi na ushahidi upo wazi PGA miaka yke 30, ILA utackia uchunguz unaendelea then anaenda marekani nae anakufa kama Daudi Balali halaf anazkwa hukohuko Hii nchi hii uozo mtupu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bakhresa na Posta: Msaidie Mzee Small wajameni!

    Nyie watu maaruf hebu tumie fursa vzuri kuwekeza pndi nguvu znapowaishia, jamn inatia uchungu kumuona mzee small alivyo sasa na umaaruf alio nao tumuoombeeni apate nafuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bakhresa na Posta: Msaidie Mzee Small wajameni!

    kweli aisee amechoka na anastahili msaada
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    Kwan nyie mafisadi hampewi fedha na wahsani pamoja na kutuibia wanyonge
  14. M

    JamiiForums Tanzania JK aonja nguvu ya CHADEMA Mwanza

    Peopleeeeeeees
  15. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kolola -Historia katika picha

    Mbunge mtarajiwa
Back
Top Bottom