BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,010
institution tajwa hapo juu, zimemtumia sana mzee huyu kuzalisha mamilioni ya shilling kwa matangazo yake mazuri ya kuamasisha watu kutumia azam product na posta kiujumla.
Sasa hivi, anaumwa kweli na pesa ya matibabu kwake ni shida sanaaaaa
![]()
pls wakurungezi msaidieni huyu mzee kwani kawatengenezea mipesa kibao
haahaaa mkuu sio kila misaada wanaamua wao
mingi ni ua masharti sasa kama huyo wakitoa bila ruhusa utakula viporo milele na kusahau unga wa bakh