Baadhi ya washindi wa ligi kuu Tz bara 2013/2014

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,388
2,000
Zawadi na tuzo zimetolewa kwa timu zilizofanya vizuri na wachezaji waliong'ara msimu wa ligi kuu ya Vodacom 2013/2014 na kukabidhiwa zawadi kwa thamani ya pesa na vikombe leo na mdhamini wa ligi hiyo ambae ni Vodacom Tanzania.

Kwenye usiku huu Vodacom Tanzania imetoa jumla ya milioni mia mbili sitini na mbili (262,000,000) kwa washindi wote ligi kuu.

Kocha bora msimu wa 2013/2014 ni Juma Mwambusi wa Mbeya City FC, golkipa bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Hussein Sharifu wa Mtibwa Sugar anapata zawadi ya Tsh 5,200,000 na tuzo.

Mchezaji bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Kipre Tchetche wa azamfc anapata Tsh 5.2M, mfungaji bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Amisi Tambwe wa SimbaSC36

Mwamuzi bora msimu wa 2013/2014 ni Israel Mjuni ambapo timu yenye nidhamu msimu wa mwaka 2013/2014 ni Yanga ambayo imezawadiwa Tsh 16M.

Credit: Vodacom Tanzania
 
George Kateme

Member
May 26, 2014
18
20
Timu yenye nidhamu msimu wa mwaka 2013/2014 ni Yanga ambayo imezawadiwa Tsh 16M.Hongera xana timu yangu ya yanga.
 
Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,486
1,195
Zawadi na tuzo zimetolewa kwa timu zilizofanya vizuri na wachezaji waliong’ara msimu wa ligi kuu ya Vodacom 2013/2014 na kukabidhiwa zawadi kwa thamani ya pesa na vikombe leo na mdhamini wa ligi hiyo ambae ni Vodacom Tanzania.

Kwenye usiku huu Vodacom Tanzania imetoa jumla ya milioni mia mbili sitini na mbili (262,000,000) kwa washindi wote ligi kuu.

Kocha bora msimu wa 2013/2014 ni Juma Mwambusi wa Mbeya City FC, golkipa bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Hussein Sharifu wa Mtibwa Sugar anapata zawadi ya Tsh 5,200,000 na tuzo.

Mchezaji bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Kipre Tchetche wa azamfc anapata Tsh 5.2M, mfungaji bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Amisi Tambwe wa SimbaSC36

Mwamuzi bora msimu wa 2013/2014 ni Israel Mjuni ambapo timu yenye nidhamu msimu wa mwaka 2013/2014 ni Yanga ambayo imezawadiwa Tsh 16M.

Credit: Vodacom Tanzania

mshindi wa 1, 2, 3 na 4 wamepewa kiasi gani kwa kila mmoja
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom