Kuna utofauti mkubwa kati ya kuipenda nchi yako na kuipenda serikali iliyopo madaraka.
Kuipenda nchi yako ni uzalendo, lakini kuipenda serikali ni itikadi iliyosambamba na siasa za mlengo fulani.
Mtu anae ipenda nchi yake huyu moja kwa moja ni mzalendo, yeye yupo tayari kuipigania nchi yake...